marco polo jr
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 362
- 1,774
Katika kutafuta maisha mtu unajikuta umetoka nje ya nchi yako mradi unapata chochote na maisha yanasonga. Baharia niliamua kuzamia huko Swaziland kwa king Mswati huku maisha yako powa ebwane nchi hii imebarikiwa watoto wazuri Sana mnakaribishwa kuja kuoa.
Mabinti Ni wengi kuliko wanaume hivyo Ni nguvu zako tuu huku Mkuu wa Nchi King Mswati kila mwaka hufanya sherehe na kuongeza mke. Kwa wale mabaharia wazamiaji munakaribishwa .
Onyo kwa mabaria huku UKIMWI ni mama mafua tuu umakini unahitajika
Karibuni kwa King Mswati