Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

wataanza kuajiri walimu wa masomo ya sayansi, walimu wa masomo ya arts wametosha maana wamegundua wengi wao wana vipidi 4 hadi 6 kwa wiki badala ya vipindi 30

usikurupuke muongozo gani wa maximum teaching load kwa week ni 30?? una maanisha ndani ya siku 5zote za masomo kila mwalimu ana double period 3??
 
Ajira ztatoka tu wala msijal walimu,mwaka huu ni wenu nkimaliza 2015, hata wakiwaajiri wa 10 cio mbaya,wala hamhitaji kuulizia sana,it's your chance ee
 
wangezitangaza kila MTU ajue huko aendako....then Mimi naona tamisemi pia NI jipu magufuri inabidi afanye ziara ya kushitukiza hapo
 
Back
Top Bottom