Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

Mabadiliko ya Tarehe Ajira za Walimu

Baada ya 2016 kupita kavu kavu, Mwaka huu ni Aprili 2017
 
teeh..teeh mwaka jana mlikua mnaelezana hio mpangilio wa ajira sijui mwezi huu,,mwaka ujao ajira mwezi huu,,yani ondoeni kichwani kabisa hao buku 4 wa sayansi na hisabati mpaka saivi kimyaa,serikali ndo kwaanza inasema wazazi wachange hela walimu waje wapige part time maeneo yaliokosa walimu wa Sayansi na hisabati,serikali ya 'Pogba' ni ya kubana matumizi haitaki mzigo,,maana hata tuliopo tunapunguziwa mishahara badala ya kuongezewa yani huku ni pachungu kuliko mnavodhani!!
 
Hakuna ajira,jiajiri kama Mimi!!
mimi nimeanza kujiajiri. kipato changu nikiona kimeimarika, kaualimu kao ka sayansi nakatupia kule. siwezi kwenda kua lofa, tena kwa kuhudumu ktk serikai yenye roho mbaya kama hii iliyoamua kutupotea muda kiasi hiki; wakati naona njia ya utajiri ipo. najuta kusoma mpka chuo kikuu, tena kusomea ualimu wa sayansi, ni bora ningesomea hata kilimo biashara kingekua na tija kwangu; na najuta kukaa kuanzia mwaka 2015 mpaka 2017 nikisubiri ajira. najiona kama nilikua chizi vile
 
Back
Top Bottom