ajira lini wakuu..?Ajira zinakuja
ajira lini wakuu..?Ajira zinakuja
hapa kazitu, ajira za walimu mwaka huu ni wote wanapelekwa vijijiniAjira zinakuja
Something is better than nothing, askutishe huyu maana kwa graduates wala haisumbui hata kidogomnalilia ualimu na uku wengine wanatoka katika kada hii na kuwa waendesha bodaboda.......!!?..hii ni hatari ni bora ujipange kivingine.....
ajira lini wakuu..?
Kwa kawaida Ajira za Walimu zilikuwa zikitoka January na Walimu walikuwa wakiwasili vituoni walipopangiwa mapema Mwezi wa Pili, lakini kwa miaka takriban mitatu iliyopita kuna Mwezi mmoja mmoja unasogezwa mbele juu ya Ajira za Walimu! Mathalan; Walimu wapya walienda vituoni kama ifuatavyo:-
2012 reporting ilikuwa February (kama kawaida) ila kuanzia:
2013 reporting ilikuwa March
2014 reprting ilikuwa April
2015 reporting imekuwa May
Mwenye taarifa sahihi juu ya Mabadiliko haya naomba tuelimishane. Maana mimi sielewi ni nini hapo!
ajira lini wakuu..?
ajira mwezi wa pili mkuuajira lini wakuu..?
kaka unauhakika?upo tamisemi wewe?Ajira zinakuja
Jiajirini wenyewe, Magufuli hana kabisa mpango wa kuajiri,mzigo wa mishahara ni mkubwa sana, serikali yake inabana matumizi
kaka unauhakika?upo tamisemi wewe?
unaweza ukawa tamisemi na usijue ajira zinatoka lini. Uhakika ni feb mkuu. Dont ask why.kaka unauhakika?upo tamisemi wewe?
si umemsikia kasim majaliwa leo kwenye dira ya mchana ya tbc...kasema ajira mwezi wa ngapi eti?au anautani na wale wazee?kasema jully au maskio yangu mabovu?unaweza ukawa tamisemi na usijue ajira zinatoka lini. Uhakika ni feb mkuu. Dont ask why.
si umemsikia kasim majaliwa leo kwenye dira ya mchana ya tbc...kasema ajira mwezi wa ngapi eti?au anautani na wale wazee?kasema jully au maskio yangu mabovu?
Kwa kawaida Ajira za Walimu zilikuwa zikitoka January na Walimu walikuwa wakiwasili vituoni walipopangiwa mapema Mwezi wa Pili, lakini kwa miaka takriban mitatu iliyopita kuna Mwezi mmoja mmoja unasogezwa mbele juu ya Ajira za Walimu! Mathalan; Walimu wapya walienda vituoni kama ifuatavyo:-
2012 reporting ilikuwa February (kama kawaida) ila kuanzia:
2013 reporting ilikuwa March
2014 reprting ilikuwa April
2015 reporting imekuwa May
Mwenye taarifa sahihi juu ya Mabadiliko haya naomba tuelimishane. Maana mimi sielewi ni nini hapo!
huo mtaji wakununua hiyo bodaboda asingeupata bila kuwa mwalimumnalilia ualimu na uku wengine wanatoka katika kada hii na kuwa waendesha bodaboda.......!!?..hii ni hatari ni bora ujipange kivingine.....