Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia

Kichuchunge

JF-Expert Member
Dec 2, 2020
338
891
Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia.

Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?

SHERIA 1.jpg
SHERIA 2.jpg
 
Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia. Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?
Ndugai pamoja na ujinga wake lakini asingeruhusu huu upumbavu
 
Mambo ya hovyo yanayofanyika kwenye awamu hii,Inafika muda unatamani yanayotokea niger yatokee na hapa kwetu ili kuwadhibiti hawa mchwa.
Bongo hayawezi tokea, rais wa kwanza alicheza kama pele huku akitetema kama mayele leo hii matokeo ndio haya na bahati nzuri alikuja kukuri kwa kusema kwa katiba hii akitokea rais mwendawazimu atajifanya Mungu mtu.
 
Rostam alikuwa sawa. Mahakama ilishapigiwa simu kusitisha uamuzi wa kesi iliyojiri huko.
 
Back
Top Bottom