Mabadiliko ya mfumo ni kitu gani naomba ufafanuzi.

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Neno mabadiliko kwa kiingereza maneno mawili hutumika

1.Reformation
2.Revolution

mfano wa Reformation ilikuwa ni mabadiliko ya kuupindua mfumo katoliki na kuweka mfumo wa kiprotestant ulioongozwa na watu kama Martin Luther na wengineo

Revolution ulikuwa ni mfumo wa ubadilishaji Mfumo wa uzalishaji na kwa ajili ya kuongeza tija mfano ni kama ule wa Industial revolution.

Haya mabadilko ya mfumo kwa siasa za Tanzania ambapo watu wanalia tunataka mabadiliko ya mfumo ni kitu gani hasa wanaongelea?
 
Back
Top Bottom