Mabadiliko ya masafa ya ITV naweza kuyapata kwa MPG 2 dekoda?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau,jana ITV walitangaza kua kuanzia tr 1 june masafa ya kuwapata kwa dish FTA yatabadirika jee mie niliwapata. Kwa Mediacom 930 MPG 2, kwa mabadiriko hayo naweza kuwapata tena?
 
Zote hapo ni MPG 4 tuu,bongo walibaki IPP tu wote walishahamia huko kitambo naona zamu imefikaa duuh
Jaribu kutafuta fundi kama kuna satelite karibu na hiyo intelsat 22 anaweza akakusetia ukapata satelite zaidi ya 1 kwa dekoda moja ili uongeze idadi ya tv.
 
Back
Top Bottom