mabadiliko ya bei ya kuperuzi na PDPROXY

munjy1

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
564
Reaction score
139
A%20S%20kiss.gif
ni yule yule first reseller wa PDPROXY hili ni tangazo kwa ajili ya wateja wa zamani na wapya kuhusiana na mabadiliko ya bei.
wale munaotaka kujiunga jisajili hapo Signup - PD-Proxy VPN
ukitaka kudownload na kuinstall Download PD-Proxy a Virtual Private Network (VPN) Tunneling software
kupata details za official resellers List of Authorized PD-Proxy Resellers

Sasa kwa huduma ya unlimited ya mwezi 1 ni 9,500tsh
Sasa kwa miezi 3 ni 25,000tsh
Sasa miezi 6 ni 55,000tsh
mwaka 1 ni 80,000
Punguzo la bei ni kutokana na wateja wengi kuniomba kupunguza bei kwa kuwa ni reseller wa muda mrefu.

Kumbuka muda wa kulipia ni 24/7 kama kawaida hakuna kilichobadilika.
Ukiwa mwanachama unapoishiwa na salio la simu ukiwa na tatizo tuma sms na utapigiwa na munjy1 mwenyewe.
Msaada unapokuwa na tatizo lolote la kuconnect ni 24/7 including holidays.

Njia za malipo ni zile zile TIGO PESA 0715044899 pia unaweza kulipia kwa njia ya M-PESA, AIRTEL MONEY NA EZY PESA kupitia namba hiyo hiyo 0715044899

Mabadiliko ya bei ni kuanzaia leo tarehe 19 July 2013
Kwa wale ambao wanadaiwa huchukuwa vocha hadi mwisho wa mwezi wanalipa madeni yao hayajabadilika bei na wataendelea kulipia ile ile11,000tsh kwa ajili ya mkopo sio cash.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na namba zilotajwa hapo juu
Sitajibu PM wala comments

Refference zote zipo hapa:
https://www.jamiiforums.com/jf-stor...ternet-yetu-ileeeee-ya-freee-na-pd-proxy.html
https://www.jamiiforums.com/jf-stor...a-buree-ya-pdproxy-kama-unataka-kujiunga.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/323095-pdproxy-na-basi-la-kijani-limeshindikana.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/301608-internet-ya-bureeee.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/306706-muhimu-kusoma-hii-kama-unatumia-pdproxy.html
https://www.jamiiforums.com/jf-store-enjoy-this/328038-shkrani-kw-munjy1-na-kruu-nzima-ya-jfs.html
 
Cheki PM mkuu
 
Wanauchumi wanasema
Lazima kuwepo na watoa huduma wengi ili ushindani uwepo na huduma ziboreshwe
C6 mbona thread zetu mmezirundika jukwaa moja
 
Last edited by a moderator:

wamavoko umeumbuka vibaya kutaka kuwauzia wa2 pd proxy kwa elf 15,,, mshkaj wangu kakupigia ukamwambia elfu 15
 
namtafuta chief mkwawa simpati. chief-mkwawa, punguza pm kwenye inbox yako ili nikupm. mia
 
sipati pm hata moja na wala pm zangu hazitoki sijui id yangu ina nini. mkuu c6 hebu kama kuna mambo ya kurefresh nirekebishie watu wengi wanalalamika
 
Last edited by a moderator:
wamavoko umeumbuka vibaya
kutaka kuwauzia wa2 pd proxy kwa elf 15,,, mshkaj wangu kakupigia
ukamwambia elfu 15

hata ukienda mnadani item moja inayofanana kila kitu,bei zake zinaweza zisilingane,ila kuna msemo wao watoto wa mjini wanasema wajinga ndio waliwao!
 
wamavoko umeumbuka vibaya kutaka kuwauzia wa2 pd proxy kwa elf 15,,, mshkaj wangu kakupigia ukamwambia elfu 15

Nimeumbuka wapi tena
Mm sitoi settings free
Lazima uzilipie 5000
Na ndo maana munjy1
Naye alikuwa anauza 11k na lazima ununue codes mbili
Lkn baada ya mods kupeleka nyuzi
Sehemu moja hapo ndo competition ilipoanza
 
the bes pdproxy reseller with best and cheapest price in town
 
Back
Top Bottom