nazimia hii post:tape:Wapendwa habari za jioni.!!!
Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.
Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.
Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)
Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.
Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .
Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................
Kind Regards
Dena Amsi
hivi haukuona post ya saaly anataka nimuanzishie sredi? halaf DA anaweka kauzibe.Basi tu najuta maana nimetoka kukufagilia mahali na Fynest kumbe mwenzangu hata jina langu hujui!
hivi haukuona post ya saaly anataka nimuanzishie sredi? halaf DA anaweka kauzibe.
kweli.Wapendwa habari za jioni.!!!
Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.
Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.
Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)
Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.
Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .
Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................
Kind Regards
Dena Amsi
nazimia hii post:tape:
usilie bana! wewe sredi lako nitaweka font za marangi rangi yeye nitamdondoshea la black and white tu.Nimeona ndio maana naenda kulala nikilia!
usilie bana! wewe sredi lako nitaweka font za marangi rangi yeye nitamdondoshea la black and white tu.
Umeongea dia ngoja nitakuwa nawa report wote :love:
Ha ha ha ha ha namiss comments zake ha ha ha BAK acha visa.......................
:tape::tape:Afadhali umesema, manake....dah zimeridi sanaa
Dah! Ankal kumbe kaharibu mimi nilikuwa namfanyia promo kumbe kazi bureBasi tu najuta maana nimetoka kukufagilia mahali na Fynest kumbe mwenzangu hata jina langu hujui!
Huoni Dena alivyo natural mtanzania sio hawa wanaochukua picha za mablack american na kuweka.Hahahahahah sema kweli DA ni kilemba tu au kuna vingine zaidi wanavyovipenda!? LOL!
lol...wewe naona sasa unataka groan si umekatazwa kuzimia humu?
kwahiyo bora nife kabisa na sio kuzimia-zimia siyo??Wewe naona sasa unataka GROAN si umekatazwa kuzimia humu?
Mzee DC watu watoe madukuduku yao PieM ndo inakua na maana!Kuweka hapa jamvini ni kutaka sifa tu!Mhhhh DA,
Hutaki tunaokuzimia au kumzimia Lizzy n.k tuseme?
Umesikika mdogo wangu. Laiti tungekuwa na masikio!!
Mzee DC
Mzee DC watu watoe madukuduku yao PieM ndo inakua na maana!Kuweka hapa jamvini ni kutaka sifa tu!