Unaonekana ni mpenzi wa juice za Ikulu.. Pole haaaNilipoona thread ya juice za ikulu, nikaifungua fasta fasta nikijua Magu kapiga marufuku matumizi ya juice kama takrima ikulu na badala yake sasa yatumika maji tuu...kumbe ni kumuombea Samatta juice!.
P.
Juice za Ikulu sii mchezo!, kuna watu walidai hawamtambui JK, lakini walipokaribishwa tuu juice za Ikulu, mbio mbio walikimbilia na baada ya kufakamia!, sikuwahi kulisikia tena hatumtambui JK!.Unaonekana ni mpenzi wa juice za Ikulu.. Pole haaa
Hata Dr slaa na kumkimbia JK kwote.. alipo sikia juice ya ikulu akasahau yote.. haaaaaJuice za Ikulu sii mchezo!, kuna watu walidai hawamtambui JK, lakini walipokaribishwa tuu juice za Ikulu, mbio mbio walikimbilia na baada ya kufakamia!, sikuwahi kulisikia tena hatumtambui JK!.
Kuna watu walisusia muswada wa mabadiliko ya katiba, CCM waaupitisha wenywe, waliosusa walipoitiwa tuu juice ya Ikulu, walikwenda na meno 32 nje, baada ya hapo wakaunga mkono muswada kwa asilimia 100%!.
Kuna watu walidhamiria kususia uchaguzi m kuu wa 2015, hadi iundwe tume huru ya uchaguzi, lakini walikaribishwa tuu juice ya Ikulu, watu hao wakaingia kwenye uchaguzi na tume ile ile, uwanja ule ule not level playing ground na rul,es of game zile zile!.
Kuna watu wamesusia katiba ya Chenge, wao waaitaka katiba ya Warioba, subii waitwe kwenye juice ya Ikulu utaniambia!.
Juice ya Ikulu...!, sio mchezo!,
Pasco
Ishia zako mzeee, kwenda zako mzeee huna maana mzee, una wivu mzeee.Kumekua na kawaida ya watu kualikwa ikulu hasa wanapo kuwa wamepewa tuzo au wamepata ushindi fulani..
Ni jambo zuri na linatia moyo ..Wote tunajua Samatta kapata tuzo ya uchezaji bora africa kwa wachezaji wa ndani.. na Ikulu imempongeza kwa kupitia Waziri wake wa habari na michezo..
Naamini huu ndio utaratibu mzuri na kuleta heshima ya ikulu... Pia kumjengea heshima Rais na ofisi yake na kuondoa lawama zisizo na maana kwani si kitu rahisi Rais kumkaribisha kila anaye fanya vizuri kwa ajili ya kushiriki juice za ikulu..
Kama ni kuwaalika basi wote waalikwe kwani itafika mahali hata walio ongoza kwenye shule za vidudu watataka wakaonje juice za ikulu..
Nampongeza Rais na ofisi yako kwa kutambua mchango ulioletwa na kijana Samatta..
Alitakiwa na nani kwenda huko ikuluSamatta alitakiwa aende ikulu na apewe mvinyo na sio juice maana ametisha sana.
Juice za Ikulu sii mchezo!, kuna watu walidai hawamtambui JK, lakini walipokaribishwa tuu juice za Ikulu, mbio mbio walikimbilia na baada ya kufakamia!, sikuwahi kulisikia tena hatumtambui JK!.
Kuna watu walisusia muswada wa mabadiliko ya katiba, CCM waaupitisha wenywe, waliosusa walipoitiwa tuu juice ya Ikulu, walikwenda na meno 32 nje, baada ya hapo wakaunga mkono muswada kwa asilimia 100%!.
Kuna watu walidhamiria kususia uchaguzi m kuu wa 2015, hadi iundwe tume huru ya uchaguzi, lakini walikaribishwa tuu juice ya Ikulu, watu hao wakaingia kwenye uchaguzi na tume ile ile, uwanja ule ule not level playing ground na rul,es of game zile zile!.
Kuna watu wamesusia katiba ya Chenge, wao waaitaka katiba ya Warioba, subii waitwe kwenye juice ya Ikulu utaniambia!.
Juice ya Ikulu...!, sio mchezo!,
Pasco
Siku hizi yule muandaaji wa Juice za Ikulu hayo.Juice za Ikulu sii mchezo!, kuna watu walidai hawamtambui JK, lakini walipokaribishwa tuu juice za Ikulu, mbio mbio walikimbilia na baada ya kufakamia!, sikuwahi kulisikia tena hatumtambui JK!.