Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Chips unazikata na kuzifroze,kisha utakuwa unachukua kidogo kidogo unafry,
Kufroze chips,,menya viazi,kata chips,zioshe kuondoa starch,kisha zidumbukize kunako maji yaliyochemka kwa dakika 2,zitoe,ziloweke katika maji baridi jwa dakika moja,kisha zipaki kwenye container be mfano hili.
View attachment 1515453
Weka kunako deep freezer
Chips kukata iwe kazi siku hizi mpaka utunze kwenye friji? Nunua chips cutter zinakata chips haraka sana na kupika nunua Deep fryer inayotumia mafuta kidogo yaani chips ndani ya dakika kumi unakula chips mpya na zimepikwa kitaalamu.
 
Yan unaweza anza kupika saa1 alafu unakuja kula saa4 uko tena una kula dak10 inabowa sanaaaa
Nunua vifaa vya kupika haraka hutajutia, angalia kitchen gadgets hauna jikoni kwako nunua ufanye upishi wako kuwa wa kisasa na haraka, mfano deep fry unakaangia, oven unachoma na kuoka, vikaango nonstick unakaangia kwa haraka na kuosha kwa urahisi, sufuria nonstick zinapika haraka na kuosha kwa haraka.
 
FB_IMG_1633610426293.jpg
 
Ndizi samaki
Roast la viaz na nyama

Hivi kiurahis unachemsha nyama au samaki then unaweka kilakitu kwenye sufuria mafuta kidogo nyanya na kitunguu viaz na nyama then unafunika baada ya muda ni kuongeza maji kidogo ya kuivisha Imeisha iyo

Ukichoka Sana toast mkate wa mayai pika na chai au maziwa kula lala
 
Chapchap ni viazi vya kuchemsha na samaki. Tambi na nyama. Ugali dagaa wa baharini na kachumbari. Wali na maharage ya kununua kwenye mgahawa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Pika ugali kwenye jiko la gesi then pitia bar ununue mbuzi chom kwenye foil
Ngoja ni update hii,siku hizi kuna mishkaki ya kuku pia ,mmoja 1000 na unapiga na ugali ,ukipata na ndizi moja ya kuiva,unashushia na maji glasi nzima,lazima ucheue mpaka majirani wanune...
 
Ngoja ni update hii,siku hizi kuna mishkaki ya kuku pia ,mmoja 1000 na unapiga na ugali ,ukipata na ndizi moja ya kuiva,unashushia na maji glasi nzima,lazima ucheue mpaka majirani wanune...
Huku mshikaki wa kuku ni 1500

Ila huwezi shiba kwa ugali aisee, labda uwe na kachumbari/ mboga mboga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom