Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

IMG-20200613-WA0020.jpg
 
Unapika mchemsho kuku unatumbukiza na viazi mviringo 4 na kukatia cabbage au hata bila cabbage, kama hela ya kuku huna unapiga mchemsho nyama ya ng'ombe, au mchemsho wa samaki. Hii michemso iwe kuanzia kilo moja na nusu maana ukipakua nyama za kutosha na viazi mviringo 3 plus nusu parachichi unashiba kabisa na unaweza ukaanza nayo kama breakfast pia
 
Yan mwanzo nilikua na rice cooker inapika wali tu, nikala wali had nikachoka nikaanza kurud hotel,,, badae nikaja kununua pressure cooker ya umeme kwaajili ya kupika vyakula vigum kama nyama,maharage,ndiz dah sasa nikashindwa kumenya ndiz,kuchambua maharage nikaamua ile rice cooker napikia wali alaf ile pressure cooker napikia samaki,,,, ila chakula cha aina moja kinachosha Sana hata wali samaki yenyew nimechoka pia
 
Mm nilijenga urafiki na mama mmoja muuza ndizi nilikuwa na namba zake nikihitaj ndiz nampigia simu mapema kabisa nilikuwa namuomba animenyee so alikuwa anamenya nikifika nachukua mzigo wangu nikifika home nikuosha na kupika fasta tu

Ila inabid ujiongeze siku moja moja unamtoa jero sio mbaya
 
Ngoja nijaribu hiyo imekaa vizur, kwa wauzaj inawezekana pia hiyo huduma kupatkana
 
Fanya hivyo biashara ushindan mwambie kuwa unapenda ndizi ila kumenya ndo changamoto na unamhakikishia utakuwa mteja wake

Milifanya hivyo hadi kwa wauza mboga za majan nilikuwa napiga simu inaandaliwa inachambuliwa na kukatwa mm nachukua naosha napika dk chache tu unatoka jikon
 
Haina noma mbaba kula hotel kila siku gharama ni kubwa sana
 
Chips...tabu kumenya viazi

Ndizi mzuzu za kukaanga + juice ...hazisumbui kumenya
Mchemsho wa ndizi na nyama... Hawa majirani zangu wanaita machalali ila tabu kumenya ndizi
Coffee/ Green tea zile za tea bags + mkate/cake

Simple way ni kula mgahawani kama unahisi tabu kuosha vyombo or process za upishi
Chips unazikata na kuzifroze,kisha utakuwa unachukua kidogo kidogo unafry,
Kufroze chips,,menya viazi,kata chips,zioshe kuondoa starch,kisha zidumbukize kunako maji yaliyochemka kwa dakika 2,zitoe,ziloweke katika maji baridi jwa dakika moja,kisha zipaki kwenye container be mfano hili.
Screenshot_20200610-165821.png

Weka kunako deep freezer
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom