Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Ugali na dagaa mchele wa 500.

dagaa wa 500, nyanya2, carot1, na kitunguu maji1 na kipande cha limao/ndimu

Kwenye jiko la gesi ni dk5

NB: MBOGA NA UGALI VINALIWA KWENYE VYOMBO VILIVYOPIKIWA KUPUNGUZA KAZI YA KUOSHA VYOMBO
Wapi uko dagaa mchele 500?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom