Mabachela kibao mume wa nini?

Mabachela kibao mume wa nini?

vp kiuno kinaendeleaje kimepata tabibu?

Hambohambo! Unajua kiuno ya Mwana wa Adamu kina Bolojointi mbili left & Right, so ya left ishakaa njema, baada ya kupata "Mshauri Muelekezi Mtibabu"
bolojointi ya right ndo bado yasuasua.
 
The secretary mume ana raha yake, Young_Master wangu full poems humu ndani, mara leo napendwa, mara nimeombwa msamaha, tukienda kwenye mechi ndio usiseme..........., ila sasa nina ingizo jipya, nazisuka sharubu peke yangu bila msaidizi, mupenzi babu Asprin umeamkajeeeeee?? lol!
 
Last edited by a moderator:
Nani kakudanganya? Ndoa ni unavyoipanga mwenyewe mama, ukitaka fungate kila siku ruksa! Hata kama una watoto 10 wknd unawafukuzia kwa bibi yao ili ujinafasi,lol
Acha uvivu, tafuta wako!
Wenzio wapo na ndoa yao wdnavyiona vya chumbani tu sawa na hao mabachela
 
Hambohambo! Unajua kiuno ya Mwana wa Adamu kina Bolojointi mbili left & Right, so ya left ishakaa njema, baada ya kupata "Mshauri Muelekezi Mtibabu"
bolojointi ya right ndo bado yasuasua.

unatakiwe ukiviringishe,ukisasambue halafu ukifafanue
 
The secretary mume ana raha yake, Young_Master wangu full poems humu ndani, mara leo napendwa, mara nimeombwa msamaha, tukienda kwenye mechi ndio usiseme..........., ila sasa nina ingizo jipya, nazisuka sharubu peke yangu bila msaidizi, mupenzi babu Asprin umeamkajeeeeee?? lol!
Wanatimua mavumbi ssi twalaaaa
Wanataka Mapinduziii
Na Mapinduzi hawayaweziiiii.

Come this way my wife material cacico:A S-rose:.......

Will you marry me?

Masai+with+Mzungu.jpg
 
Last edited by a moderator:
safi sana..
itabidi nianzishe biashara ya Condom Vending machines
kila conner chooni, stend, jikoni mabafuni, hoteline, sebuleni,
kwenye magari ..( better be safe than sorry )..:fish2:

siku hizi hawatumii, bora uanzishe danguro tu.
 
avatar yako inaonesha kua we bado mdogo sana..humu kwa wakubwa umeingiaje???
 
safi sana..
itabidi nianzishe biashara ya Condom Vending machines
kila conner chooni, stend, jikoni mabafuni, hoteline, sebuleni,
kwenye magari ..( better be safe than sorry )..:fish2:
Halafu kila unapoweka hiyo vending machine unaweka pia "VENDING" bed na "vending" dust/condom bin
 
naona wenzangu wiki hii ni hekaheka ya kulalamika waume kuibwa kuna umuhimu gani kuwamiliki kwa nini msiwe single wenzenu tunaruka viwanja kinoma bila pressure.mume wa kazi gani ikiwa mabachela wamejaa

Ikiwa maziwa unapata kwanini ujipe tabu ya kuzoa kinyesi kisa ufugaji.
 
Hahahahaaa hujajua raha ya kuwa nayo muda wote!
Muulize Cantalisia atakupa ratiba!
Utasikia kuna cha mchana,asubuhi,adhuhuri,alasiri,jioni,usiku wa manane,usiku wa matisa n.k
Jaribu uone

mh wengine ndoa kituo cha polisi...ikifika time ya kurudi nyumbani homa inampanda...kweli sometimes kua single ni afadhali kuliko mateso ya kwenye ndoa
 
Wenzako sa ivi wanakunywa uji, we unafanya nini humu....kengele imegonga..muda wa kwenda kuhesabu vijiti

halafu kile kitoto chako haujakiosha tangu asubuhi ukimwagie uji halafu ukifika ukimwagie tena una dhambi wewe. tuliziana
 
Back
Top Bottom