Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

The same old story.

Ninawaasa wananchi masikini kutokuwa mbele kwenye hayo maandamano ili na wao viongozi wapeleke misiba kwenye nyumba zao. Iweje wajiite wapigania ukombozi lakini wanaouwawa na kujeruhiwa ni masikini tu na sio wao viongozi?

Wanaopaswa kujibu swali hilo ni wauwaji na siyo viongozi wa CHADEMA
 
Mtafukuzana mpaka mbaki wa kanda moja,uongozi mwembamba,fikra nyembamba na maauzi membamba.Mbowe na Slaa ni madikteta waliojificha katika mgongo wa siasa za demokrasia.Wanatawala chama kwa kuwatia hofu viongozi na kuogopa vivuli vyao.Hakuna demokrasia ndani ya CDM (PLC).
 
attachment.php

Naona mpwa wake Sabodo anafuatilia jinsi mkakati wa CDM katika kuwalinda majambazi ya kihindi unavyoenda.
 
chagulani alikuwa na kiherehere cha kupambana na meya na mbunge sasa ajifunze.kuhusu operesheni huko singida ikiwezekana watumie muda mwingi zaidi huko ili huyu kijana asiye na adabu ajifunze.
 
Maamuzi ni mazuri sana.Hongereni Makamanda.Mungu wa Israel azidi kuwatia nguvu.
 
Hapo kwenye TBC Leo mmepigilia msumari kweli hii TV inatumika vibaya mimi tangu uchaguzi mdogo wa Igunga niliisusia kabisa ila najua wa-Tz wengi hawaipendi.

Safi sana kamati kuu kwa maamuzi ya kufukuza hao ndumila kuwili wa mwanza.
 
Maamuzi magumu ni muhimu sana hasa kwa maslahi ya taifa
 
the same old story.

Ninawaasa wananchi masikini kutokuwa mbele kwenye hayo maandamano ili na wao viongozi wapeleke misiba kwenye nyumba zao. Iweje wajiite wapigania ukombozi lakini wanaouwawa na kujeruhiwa ni masikini tu na sio wao viongozi?

maisha ya sasa si bora ufe tu ukiwa unadai haki yako,bora kufa ukiwa unapambana na aliyeujumu mradi wa kuangamiza mbu kuliko kufa kwa kuumwa na malaria iliyosababiswa na mbu
 
Timely justice for all! Hapo kwenye kuisusia TBC mimi nilishaanza tangu aondoke Tido.
Kuhusu Tendwa Ukurasa wa 107 wa Kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu kuna maneno haya "Mabadiliko yana tabia yake. Yakiamua kuja, huja. Huwa hakuna mjadala wala mbadala.Ni mwenye busara tu ndiye huyapokea mabadiliko kwa amani"
Mwandishi anaendelea ..."Nyakati za kukosoa utawala mbovu ukaitwa mchochezi zimepita. Nyakati za kuomba kura kwa wananchi kwa kuwapigia zumari, gitaa au kunengua viuno kwa taarabu zimepita. Nyakati za kumwona mtu mwenye mawazo ya kisiasa tofauti na wewe kuwa ni adui wa nchi au ni hatari kwa usalama wa Taifa zimepita"

Mimi sipo!! ila najua unauiga Mpoki na Rafiki yake yule kiongozi wa TOT!!!
 
  • Thanks
Reactions: SG8
Mtafukuzana mpaka mbaki wa kanda moja,uongozi mwembamba,fikra nyembamba na maauzi membamba.Mbowe na Slaa ni madikteta waliojificha katika mgongo wa siasa za demokrasia.Wanatawala chama kwa kuwatia hofu viongozi na kuogopa vivuli vyao.Hakuna demokrasia ndani ya CDM (PLC).

Umeshau Mkuu kumalizia " Kidumu Chama Cha Mapinduzi" asanteni halafu ndo ukae!

Kwetu sisi Demokrasia ni Kuvumilia uozo na kuogopa kufanya maamuzi magumu
 
mchawi mkubwa wee,kipofu wa akili.Fikiri kwa kichwa,(sio masabLII) Polisi waue viongozi ndo misiba iende kama unavyotaka,
 
Mungu naomba bariki raia wenye nia njema na Tanzania,Mungu naomba bariki CHADEMA.Amina!
 
Mtafukuzana mpaka mbaki wa kanda moja,uongozi mwembamba,fikra nyembamba na maauzi membamba.Mbowe na Slaa ni madikteta waliojificha katika mgongo wa siasa za demokrasia.Wanatawala chama kwa kuwatia hofu viongozi na kuogopa vivuli vyao.Hakuna demokrasia ndani ya CDM (PLC).
Demokrasia ccm ipo,ndio maana mnafisadiana...!
 
Safi!!!!!!!! sana kamati kuu kwa maamuzi mazito.Nawapongeza kwa kuwavua uanachama viongozi ambao ni wasaliti.Bora kutokuwa na kiongozi kuliko kuwa na viongozi wenye majungu,fitina,kigeugeu na kila aina ya uchafu.Sasa vijana wa kitangili na Igoma tujipange kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa udiwani.

ngoja nianze kupiga jaramba kuchukua nafasi mwanza!!
 
Chama makini sikuzote huchukua maamuzi MAGUMU kwa wakati na siyo kubembeleza. KAZI inafanyika na HAKUNA KUONEANA HAYA hapa. CHADEMA NI CHADEMA NA CUF NI CCM, kazi kuiga tu na kujibanza na dini mojawapo hapa nchini.
CHADEMA TUSONGE MBELE.
 
chagulani alikuwa na kiherehere cha kupambana na meya na mbunge sasa ajifunze.kuhusu operesheni huko singida ikiwezekana watumie muda mwingi zaidi huko ili huyu kijana asiye na adabu ajifunze.

mwigulu usimwite kijana mwite punguani ndilo jina lake sahihi!
 
Tatizo nikisusia TBU nita-mmisss dada moja pale studio.Huwa anatoka bomba sana.

Yaani huwa natamani habari isifike mwisho.
 
Back
Top Bottom