Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

wenye digital receivers (decoder au receiver za dish za kawaida) mni-PM niwaelekeze jinsi ya ku-delete channel maana nilijifunzia wakati nai-delete TBC1 na TBC2 kutoka kwenye Startimes Decoder na receiver ya dish sebuleni kwangu kama miezi 8 iliyopita.


Mkuu, wewe (mgosi) mwaga maelezo hapa hapa usingojee waku-PM. Hatujui siku na saa ambayo kila mmoja atayahitaji maelekezo yako ya kuiondoa TBCCM. Fanya hima tuweke na akiba ya siku zijazo. Inawezekana mimi sina hizo decoder au receiver lakini jirani, ndugu na jamaa zangu waweza kuwa navyo, nitawasaidia kutekeleza azimio. Tafadhali.
 
Bravo! Hizo ndio kauli zinazotakiwa kutoka kwa chama Kama Chadema ngoja nikajipongeze kwa kazi nzuri inayofanywa na chama changu najivunia kuwa cdm... angalia ccm watakavo angukia pua, ukimuamsha alio lala uta lala wewe...aluta continue
 
Mwanaume huwa haogopi maamuzi magumu! Huo ndo ukomavu, hata Msaliti Sitta keshawaho kusema kuwa mwanasiasa lazima ujiandae na uwe na ngozi ngumu kwani kuna misuguano mingi. Bravo CDM!
 
Hiyo TBC wangeifanya ya kulipia sidhani kama kuna mtu angeinunua. S/times tuifungua tu coz tunaikuta kwenya package. R.I.P TBC

Sure mwana. mimi kwangu tbc1 ipo kwenye dstv nimeipiga pasword mbaya, kuzuia mwanafamilia yeyote kutazama. wale watu ni viazi kabisa, huku wakijuwa vema wanatumia kodi zetu. k zao!
 
Demokrasia ccm ipo,ndio maana mnafisadiana...!
Kabisaaa... wala haujakosea,CCM kama upatu vile unaweza kukopa fedha za ruzuku kwa matumizi binafsi kama kununulia pampers za Junior,kulipa madeni n.k
 
Hivi Chadema wanaisusiaje TBC sasa kwa mfano? Kinacholeta mantiki kwangu ni TBC kuisusia Chadema kwa kutotangaza habari zake na siyo kinyume chake.

Inategemea Chadema ina wafuasi kiasi gani. Chadema au chama chochote cha siasa ni watu na hivyo watu hao wanaweza wakafanikisha biashara yako au kuiua. Mfano; kama vijana/watu wengi wakiacha kuangalia vipindi vya TBC including hicho cha comedy; basi hao watu wa comedy watahamishia biashara kwenye TV ambayo watapata watazamaji wengi; same applies kwa hao wanaolipia matangazo yao. Utapelekaje matangazo mahali ambapo unajua kuna watu wachache watakaloliona tangazo lako? It is all about marketing na marketing ni strategies!
 
magwanda bwana wana makeke utadhani wamechukua nchi bora kifutwe tupumue.
 
Mtafukuzana mpaka mbaki wa kanda moja,uongozi mwembamba,fikra nyembamba na maauzi membamba.Mbowe na Slaa ni madikteta waliojificha katika mgongo wa siasa za demokrasia.Wanatawala chama kwa kuwatia hofu viongozi na kuogopa vivuli vyao.Hakuna demokrasia ndani ya CDM (PLC).

demokrasia ni kichaka cha viongozi mazuzu na majuha wakubwa mfano Nape na mukama!
 
Haki ya mt haipotei kirahs lengo halivunjwi na mt mwengne wanatfanyia ubya bla kujua wanatpa akil ya kuwafanyia wao ubya zaidi
 
Tatizo nikisusia TBU nita-mmisss dada moja pale studio.Huwa anatoka bomba sana.

Yaani huwa natamani habari isifike mwisho.

mkuu haramu ni haramu tu! So achana kabisa na hiyo chanel ya majuha na mazuzu ambayo imepotosha umma kuanzia uchaguzi arumeru, mgomo madaktar, walimu , sensa , mauwaji ya polisi etc..

Go to hell TBCCM............chezea peoples power weyeeeeee......
 
Kwani Zitto Zuberi Kabwe anasema kuhusu misimamo hii, maana huyu yupo ki-TBC zaidi
 
tbc imesha susiwa ktambo! Hata kwenye baa,migahawa na mwngneko tbc marufuku
 
TBC imetia aibu...inapotosha habar live! Mfano ishu ya iringa waliwatete polic mwishowe wameumbuka...cha kushangaza ni mali ya umma, na wanalpwa kwa kop za wananch, walitakiwa kuisifia na kuikosoa serekal
 
TBC imetia aibu...inapotosha habar live! Mfano ishu ya iringa waliwatete polic mwishowe wameumbuka...cha kushangaza ni mali ya umma, na wanalpwa kwa kop za wananch, walitakiwa kuisifia na kuikosoa serekal...cha kusitisha wamejingza kwenye siasa..
 
safi sana viongozi wetu kuhusuy TBC mmefanya cha maana sana mi nlishaikacha cku nyiiiiingi wanafiki sana hawa jamaa kuitwa stesheni ya taifa tu wanashindwa kuffanua mki naona bora iitwe ccmtv
 
Hivi nyie mna akili kweli utasusia chereko chereko na taarabu! Mimi sijui
 
aibu sana tv ya taifa inashindwa kutetea utaifa bora ingeitwa ccmtv
 
Kabisaaa... wala haujakosea,CCM kama upatu vile unaweza kukopa fedha za ruzuku kwa matumizi binafsi kama kununulia pampers za Junior,kulipa madeni n.k

juha ww hebu acha uzuzu wa kigamba.
 
Back
Top Bottom