Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,955
kwani bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na mataifa yote?
Unataka hadi awepo Kikwete ndipo ujuwe kiongozi wa kiislam alikuwepo mtaendelea kudumazwa akili hadi mshindwe kujielewa.samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?
lkn mzee hii maada sio ya udini? Au kwa sababu inawafurahisha chadema? Askofu nani? Ni mwanasiasa. Mchumi au? Acha jazba
- Ukiona mwenye akili kama wewe anatumia muda wake kumjibu asiye na aikili kama mimi, Ina maana kwamba ujumbe umefika ahsante sana mkuu kwa kukubali ujumbe, kwamba ukiona viongozi wa taifa wanatumia Biblia, badala ya Katiba kuhalalisha vitendo vya serikali, basi ujue viongozi hao na serikali nzima ni mufilisi, na wanahitaji kuondoka madarakani mara moja!
- Naona message sent, delivered! & Received, tumekusikia mkuu!
William
Siasa za tanzania, tangu kikwete alipotulisha unga wa ndele basi watanzania wotekuwa muelewa. Tatizo lako wewe ni mbumbumbu. Wanasema asiitumie kwa kuhalalisha maovu na kuhadaa watu. Watu wanasom zaidi ya miaka 7 kuitafsiri hiyo. Kasomea wapi?
- Ukiona viongozi wa taifa wanaanza ku-quote Biblia badala ya Katiba ya Jamhuri, katika kuhalalisha vitendo vya serikali maana yake ni moja tu kwamba hao viongozi na serikali nzima ni mufilisi, wanahitaji kuondolewa mara moja!
William.
samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?
Unataka hadi awepo Kikwete ndipo ujuwe kiongozi wa kiislam alikuwepo mtaendelea kudumazwa akili hadi mshindwe kujielewa.
Ukiwaona the so called great thinkers, hawaoni tatizo la viongozi wa dini kuingilia mambo ya siasa na kutugawa watanzania basi ujue tunakokwenda siko. Yaani GT can not think beyond udini....Hawa viongozi wa dini wameshakosea mara ngapi ? Sasa wakiambiwa ukweli wafuasi mnakua wakali, ndio maana waliwaambia Kikwete ni chaguo la mungu...
- Ukiona mwenye akili kama wewe anatumia muda wake kumjibu asiye na aikili kama mimi, Ina maana kwamba ujumbe umefika ahsante sana mkuu kwa kukubali ujumbe, kwamba ukiona viongozi wa taifa wanatumia Biblia, badala ya Katiba kuhalalisha vitendo vya serikali, basi ujue viongozi hao na serikali nzima ni mufilisi, na wanahitaji kuondoka madarakani mara moja!
- Naona message sent, delivered! & Received, tumekusikia mkuu!
William
kwani bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na mataifa yote?
makamba ni mjinga sana na hana akili yule mzee
Maaskofu wa madhehebu ya Kikristu mkoani Arusha wamemkemea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, kwa kuitumia Biblia takatifu kuhalalisha uovu; wakamtaka aache tabia hiyo mara moja.
Maaskofu hao wakiongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati, Thomas Laizer, aliyezungumza kwa niaba wenzake katika mazishi ya wahanga wa maandamano ya Arusha, alisisitiza kwamba wataendelea kuikosoa serikali na chama chochote kile pindi kinapokosea.
Kauli ya Makamba iliyowakera maaskofu hao, na ambayo amekuwa akiirudia mara kwa mara, ni ile aliyotumia kuwakejeli kwa kunukuu maandiko matakatifu ya Kurani na Biblia akisema tiini mamlaka iliyo kuu. Walisema ufahamu wa Makamba ni finyu katika kutafsiri maana halisi ya neno hilo.
Kama serikali wameamua kutuvunjia heshima, basi wasimame kwenye majukwaaa kutetea uovu wao, na sisi tutasimama kwa ajili ya kupinga uovu wao, tuone Mungu atamsikia nani alisema Askofu Laizer.
''Maaskofu wamesikitishwa na kauli yake na pia kauli ya Katibu wa CCM mkoa wa Arusha, Mary Chatanda kuwataka kuvua majoho na kuingia katika siasa kwani ni kuwavunjia heshima,'' alisema askofu Laizer.
Source: Tanzania Daima
samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?