Maaskofu wasusia mwaliko wa JK

Huyo mtangazaji wa TBC anakwambia "Ikiwa ni takriban miezi miwili imebakia, tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu, hapa nchini"

Hivi hawa jokers wanawatoa wapi? Huyu ngumbaru anajua Kiswahili kweli ? Anajua tofauti ya tangu na mpaka ?
 
huyo msomaji tu, kuna alomuandika (nataraji sio yeye) ndie aliyechapia. Japo kuwa angejirekebisha baada ya kutamka. Au ndo alikuwa on auto-pilot wala hakijui alichokisema!
 
Huyo mtangazaji wa TBC anakwambia "Ikiwa ni takriban miezi miwili imebakia, tangu kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu, hapa nchini"

Hivi hawa jokers wanawatoa wapi? Huyu ngumbaru anajua Kiswahili kweli ? Anajua tofauti ya tangu na mpaka ?
Kiranga,
Nitakapofungua redio yangu Bongo nitakutafuta uwe mhariri. Big up!
 
Back
Top Bottom