Maaskofu, wananchi ‘wamchanachana’ Slaa

Kuna kitu naona kati ya sasa na siku sitini zijazo.
Huenda Mh. Mbowe akatunukiwa nishani ya mwanasiasa bora na mwenye upeo Afrika na duniani, ngoja tuone maana ni muda mfupi tu umebaki.
 
Gwajima anyamaze tu..ni msaka tonge alipomtusi Pengo alikuwa cdm baadae akaingia ccm kumuunga mkono lowasa baadae karudi cdm kuwa "mshenga" wa lowasa.

hawa ndio makahaba wa siasa kwa mwamvuli wa dini . ili tu lengo lao litimie . EEEMUNGU TUEPISHE NA HAWA MA IBLISI
 
Ikumbukwe ni Mshenga ndie aliemtonya dr slaa kuwa hata maaskofu nao wamenunuliwa..
 
Gobole lime backfire ile mbaya. Huzuni huzuni ccm.
 
hawa maaskofu walipokea pesa ya escrow washindwe nini kupokea pesa ya lowasa huoni walivyokuwa wanahangaika kumwalika kwenye harambee zao ila ukweli unauma na mamvi ameshajua udhaifu wa hawa watu lakini ikulu ataisikia kwenye bomba
 
Naona Slaa anataka kutifuana na TEC over CheCheMea
 
Tanzania haina viongozi wa dini njaa tupu inawasumbua sadaka haiwaitoshi na rushwa wanaramba asante Dr.Slaa kwa kuweka maslahi ya nchi mbele
 
Risasai ya maji"maji,maji,maji"
Dr.amesalimu amri kimtindo na ni dalili ya kumshabikia Lowasa.
Ilibidi aunganenae tu na timu ya ushindi
 
win8

Ukiacha upadre ukaenda kwenye mishemishe zako baadae lazima uchanganyikiwe tu

Alimhakikishia Ma koku kuwa lazima awe first lady mwaka huu lakini MUNGU kasema NO IMPOSSEIBLE. Lazima achanganyikiwe. Boojooo chonka ma koku oine mizungu mibi.
 
Last edited by a moderator:

Jipe moyo utashinda.Elungata kikwetu ni makalio.
 
Alichojisaha Dr Slaa Ni Kuwa Watanzania Hawa Si Wale Wa Miaka Ilee Hawa Ni Watanzania Wataka Mabadiliko Haswaa Hawaigizi Yani Tuko Tayari Kuipiga Chini Ccm Hata Bila Kuwa Na Mgombea Baada Ya Hapo Ndio Tunachagua Wa Kukaa Ikulu Huku Ccm Haipo

Hata akigombea Gwajima tunampa nchi awamu.
 
Mzee Kinjekitile Ngwale ndani ya majimaji war.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…