Maaskofu wa mitaani, mjipime

Maaskofu wa mitaani, mjipime

Asante sana, bado umeleta Tamko la Jukwaa la wakristu. Kuna mahali wadau wanasema Pengo alisaini ndo ilipo moja ya kiu zangu. Ndiyo hapo naposisitiza haja ya tafakari pana za kujua mipaka ya mabaraza kama CPCT au TEC dhidi ya Jukwaa hilo. Pitia kwa tahadhali kauli ya Pengo halafu fuatilia misimamo ya mabaraza yao against Jukwaa. Kwa ufupi jukwaa limeenda beyond boundaries...
 
Yes! Hili linaunganisha makanisa yote. Na lina uwakirishi sawa kutoka TEC, CCT, PCT na SDA (Sabato). Na limeundwa ili kuunganisha nguvu ya Wakristo na Makanisa. Kwa hiyo maamuzi ya Jukwa ya Wakristo ni ya juu zaidi kimuundo.

Sitaweza kujua msimamo wa ila baraza ila kwa Uwakirishi huu maazimio ya Jukwa la Wakristo ni la Mwisho. Na ndo azimio la juzi juu ya katiba mpya.
Twende polepole tutaelewana tu. Kwa hiyo unataka tuamini kuwa Jukwaa la Wakristu liko juu kimamlaka kwenye Mabaraza kama TEC au CCT? Hapa tena narudia, ufahamu msimamo wa mabaraza yote against msimamo wa Jukwaa lao. Ni simple sana hii kitu.
 
Asante sana, bado umeleta Tamko la Jukwaa la wakristu. Kuna mahali wadau wanasema Pengo alisaini ndo ilipo moja ya kiu zangu. Ndiyo hapo naposisitiza haja ya tafakari pana za kujua mipaka ya mabaraza kama CPCT au TEC dhidi ya Jukwaa hilo. Pitia kwa tahadhali kauli ya Pengo halafu fuatilia misimamo ya mabaraza yao against Jukwaa. Kwa ufupi jukwaa limeenda beyond boundaries...

Sijui kama yeye Pengo alitia saini.
Ila kwa utaratibu wa Kanisa Katoliki, mpaka ule waraka umefikia kusomwa katika parokia zote (zikiwemo za jimbo kuu la Dar es Salaam) lazima waraka uwe umepata 'ruksa' ya askofu mkuu wa jimbo husika.
Hapo ndio 'utata' unapokuja..!!
 
Yes! Hili linaunganisha makanisa yote. Na lina uwakarishi sawa kutoka TEC, CCT, PCT na SDA (Sabato). Na limeundwa ili kuunganisha nguvu ya Wakristo na Makanisa. Kwa hiyo maamuzi ya Jukwa ya Wakristo ni ya juu zaidi kimuundo.

Sitaweza kujua msimamo wa ila baraza ila kwa Uwakirishi huu maazimio ya Jukwa la Wakristo ni la Mwisho. Na ndo azimio la juzi juu ya katiba mpya.

Tuseme kwa mfano Jukwaa la wakristu linaweza kuielekeza Mamlaka ya Baba mtakatifu. Well, kuna mahali katika moja ya mstari unakiri kutojua misimamo ya mabaraza. Asante kwa hilo. Polepole tutaelewana. Kwa ufupi chombo cha juu na cha mwisho cha ushauri wa mambo ya kanisa Katoliki hapa nchini ni Baraza lao la Maaskofu-TEC. Karibu.
 
Hii vita ya Gwajima ni kati kambi ya chaguo la Mungu yaani mhe.Edward Lowasa na maadui zake ndani na nje ya CCM-2015.
 
Unajua watu wanajifunza kimakosa. Umewahi ina Sungura anapokimbizwa na Fisi anakimbilia kwa Simba??? Jukwa la Wakristo haliwajibikwa kwa Papa wala kwa kanisa lolote. Mabaraza yanafanya hivi bila kuvunja utangamano wao na ngazi za juu. Ila hayawezi kufanya kinyume na Jukwa hili kwa maazimio yenye interests za wakristo.

Hivyo basi kila agenda inajadiiwa ndani na mabaraza haya na kuweka misimamo ya kikanisa kabla ya maazimio ya kidini.

Ndo maana watu wengi wanahoji kauli za Pengo.

Tuseme kwa mfano Jukwaa la wakristu linaweza kuielekeza Mamlaka ya Baba mtakatifu. Well, kuna mahali katika moja ya mstari unakiri kutojua misimamo ya mabaraza. Asante kwa hilo. Polepole tutaelewana. Kwa ufupi chombo cha juu na cha mwisho cha ushauri wa mambo ya kanisa Katoliki hapa nchini ni Baraza lao la Maaskofu-TEC. Karibu.
 
Gwajima amejifedhehesha!
[/QUOTE]

Kama kweli wewe ni Mkristo lazima ujue namna neno la Mungu lilivyotufundisha kuheshimu viongozi wetu. Wewe ni nani uwakashifu hivyo hawa watumishi wa Mungu. Pia haya mambo ya dini ni very sensitive lazima wakristo tuwe waangalifu.

Shetani anataka kutumia nafasi hii kuleta shida miongoni mwetu mwenye masikio na afahamu.

Pia nyie mnaomuhukumu Ask Gwajima au Ask Pengo muache mara moja. LOLOTE LINAWEZA KUKUPATA HAWA WATUMISHI WATAKAPOLIITIA JINA LA BWANA. Mungu atawapatanisha watumishi wake kwani yeye ndio anawajua na yeye ndie aliwaita. Yoyote atakaemsaidia Mungu atapigwa IKABODI. (Be careful and mark my words).

Moreover Mimi sisal kwa Ask Gwajima wala Pengo wala makanisa uliyoyataja! Nina wapenda hawa watumishi kwa nafasi zao na kwa wakati Mungu alipowatumia.

Queen Esther
 
Queen Esther[/QUOTE]

Gwajima amelazwa Muhimbili kwa presha, fika kule haraka kumuombea.
 
Gwajima amelazwa Muhimbili kwa presha, fika kule haraka kumuombea.[/QUOTE]

Masopakyindi Hakuna umbali ktk Roho, sio lazima nifike au yoyote anayemuombea afike. Mungu anayejibu kwa MOTO hakika atajibu. Kama wewe kweli ni mkristo soma kitabu chote cha Habakuki. Mpango wa Mungu kamwe hautazuiliwa na mwanadamu. Mungu ni Mungu wa majira na Nyakati. Amen

Queen Esther
 
Lakini mtanzania haija ainisha kama ni presha... na huyo anaye ripoti haujui na yeye anajaribu kuuliza... kwasababu amesema amesikia...
Naona wewe ni Tomaso mzee
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    35.9 KB · Views: 107
Gwajima amejifedhehesha!

Kama kweli wewe ni Mkristo lazima ujue namna neno la Mungu lilivyotufundisha kuheshimu viongozi wetu. Wewe ni nani uwakashifu hivyo hawa watumishi wa Mungu. Pia haya mambo ya dini ni very sensitive lazima wakristo tuwe waangalifu.

Shetani anataka kutumia nafasi hii kuleta shida miongoni mwetu mwenye masikio na afahamu.

Pia nyie mnaomuhukumu Ask Gwajima au Ask Pengo muache mara moja. LOLOTE LINAWEZA KUKUPATA HAWA WATUMISHI WATAKAPOLIITIA JINA LA BWANA. Mungu atawapatanisha watumishi wake kwani yeye ndio anawajua na yeye ndie aliwaita. Yoyote atakaemsaidia Mungu atapigwa IKABODI. (Be careful and mark my words).

Moreover Mimi sisal kwa Ask Gwajima wala Pengo wala makanisa uliyoyataja! Nina wapenda hawa watumishi kwa nafasi zao na kwa wakati Mungu alipowatumia.

Queen Esther[/QUOTE]

Yaan we ndo huelewi kabisa.
Huwa sipend kuchangia mijadala ya aina hii ila naomba nikueleweshe kidogo.
kauli ya kwamba hawa wote ni watumishi wa Mungu si kweli.
Ukweli ni kwamba Mmoja ni mtumishi wa Mungu na mmoja si Mtumishi wa Mungu AU pia inawezekana wote wakawa si watumishi wa MUNGU.
Nakuachia wewe ung'amue yupi ni mtumishi wa kweli na yupi si mtumishi wa kweli.
Usiwe na imani ya woga. usiogope adhabu au ghadhabu ya Mungu kama unasimamia ukweli.
Usiogope kumsema mtu anayejiita mtumishi wa Mungu kama anaendana kinyume na utaratibu wa Mungu.
USIWE MWOGA. SPEAK YOUR MIND.
Kwa akili ya kawaida tu jiulize mtumishi mmoja hawezi kutumwa na Mungu Mmoja kwenda kumtukana Mtumishi mwingine wa Mungu huyo huyo kuwa ni mpuuzi,mjinga, hafai, aende akalime aache utumishi......na matusi mengine mengi anayodai katumwa na Mungu awataarifu waumini zake.
Kwa logic ya kawaida kabisa hawa wawili hawawezi kuwa watumishi wa MUNGU MMOJA.
think.open your mind. mtafute Mungu ndani ya Moyo wako.usibabaishwe na wababaishaji na mwisho kabisa achana na IMANI ya WOGA. Hata Mungu aliyekupa free will na thinking capacity akakuweka huru kwa kifo cha Mwanae Msalabani HAPENDI IMANI YA WOGA.
 
Gwajima anahitaji kusaidiwa ili aweze kujijenga kimaadili maana nimegundua kuwa tatizo lake kubwa ni kufilisika kimaadili.
 
Kibwetere na Gwajima wanafanana vipi?! Kwani Kibwetere na yeye alikuwa haumi maneno?! Halafu hao wa Kibwetere walisemea wapi hayo maneno...

Au unaongea kwa hisia tu... bila ya ushahidi, kama unao thibitisha ya kwamba hata hao wa Kibwetere walisema hivyo hivyo...
Kibweter alikuwa ni Muumini wa kanisa Katoliki na hiyo inafahamika uganda wala hakuwa Mpentecosite
 
.

Queen Esther[/QUOTE]

Yaan we ndo huelewi kabisa.
Huwa sipend kuchangia mijadala ya aina hii ila naomba nikueleweshe kidogo.
kauli ya kwamba hawa wote ni watumishi wa Mungu si kweli.
Ukweli ni kwamba Mmoja ni mtumishi wa Mungu na mmoja si Mtumishi wa Mungu AU pia inawezekana wote wakawa si watumishi wa MUNGU.
Nakuachia wewe ung'amue yupi ni mtumishi wa kweli na yupi si mtumishi wa kweli.
Usiwe na imani ya woga. usiogope adhabu au ghadhabu ya Mungu kama unasimamia ukweli.
Usiogope kumsema mtu anayejiita mtumishi wa Mungu kama anaendana kinyume na utaratibu wa Mungu.
USIWE MWOGA. SPEAK YOUR MIND.
Kwa akili ya kawaida tu jiulize mtumishi mmoja hawezi kutumwa na Mungu Mmoja kwenda kumtukana Mtumishi mwingine wa Mungu huyo huyo kuwa ni mpuuzi,mjinga, hafai, aende akalime aache utumishi......na matusi mengine mengi anayodai katumwa na Mungu awataarifu waumini zake.
Kwa logic ya kawaida kabisa hawa wawili hawawezi kuwa watumishi wa MUNGU MMOJA.
think.open your mind. mtafute Mungu ndani ya Moyo wako.usibabaishwe na wababaishaji na mwisho kabisa achana na IMANI ya WOGA. Hata Mungu aliyekupa free will na thinking capacity akakuweka huru kwa kifo cha Mwanae Msalabani HAPENDI IMANI YA WOGA.[/QUOTE]

Hector!!!!
The battle is The Lord. Who am I to judge the servants of the most high?

As long as wote wanamuhubiri Kristo iwe kwa hila iwe kwa kweli; mwenye kuwahukumu ni Bwana. Mimi siijui mioyo yao. Kwanini uisaidie kazi ya Bwana? Soma habari za yule mtu aliyesaidia Sanduku la agano lisianguke nini kilimpata? Angalia kisikupate.

Sio uoga ni maonyo tu mpendwa. Jambo hili lina maana kubwa ktk ulimwengu wa roho. Be careful!!!!

Queen Esther
 
Unajua watu wanajifunza kimakosa. Umewahi ina Sungura anapokimbizwa na Fisi anakimbilia kwa Simba??? Jukwa la Wakristo haliwajibikwa kwa Papa wala kwa kanisa lolote. Mabaraza yanafanya hivi bila kuvunja utangamano wao na ngazi za juu. Ila hayawezi kufanya kinyume na Jukwa hili kwa maazimio yenye interests za wakristo.

Hivyo basi kila agenda inajadiiwa ndani na mabaraza haya na kuweka misimamo ya kikanisa kabla ya maazimio ya kidini.

Ndo maana watu wengi wanahoji kauli za Pengo.

Weka hapa agenda na Maazimio ya TEC prior to Jukwaa ili tufunge mjadala.
 
Back
Top Bottom