Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
Mimi sikubaliani n Askofu Pengo lakini njia aliyotumia "Askofu" Gwajima haina upako.
Njia aluyotumia Gwajima ina upako hata yesu alimwita Herode Mbweha hiyo ni lugha ya kukemea
Mimi sikubaliani n Askofu Pengo lakini njia aliyotumia "Askofu" Gwajima haina upako.
alichofanya gwajima sio sahihi lakini msimamamo wa kadinali pengo ndio mbaya kabisa sikutegemea kiongozi wa juu kama kukurupuka na maamuzi kama hayo labda ni msimamo wake kama pengo sio kanisa katoliki msimamo wa kanisa katoliki juu ya katiba pendekezwa unajulikana
Kwa "Askofu" anaye wapeleka kondoo zake tofauti na njia ya uzimani, thats the least we can say.Maneno uliyotumia ni ya kuudhi na kujifanya unajua. Kristo hakulaani na we usilaani. Na hatutalaani kamwe. Kama hujui usiandike.
Wale wa "Askofu" Kibwetere walisema hivyo hivyo, na mwisho waliangamia.Huwezi kuita kiongozi wa wenzako ni wa mitaani, inamaa hata wanaoenda pale na wenyewe umewadharau ni wa mitaani...
Licha ya hivyo hayo ni maoni yako kwa hiyo sio lazima watu wawaze kama wewe...
Wale wa "Askofu" Kibwetere walisema hivyo hivyo, na mwisho waliangamia.
Kwa "Askofu" anaye wapeleka kondoo zake tofauti na njia ya uzimani, thats the least we can say.
Mkuu wewe ni Gwajima mwenyewe au vipi?Huna hoja ya msingi ndugu yangu. Pengine ungetumia "polite language" watu wangekuelewa. Huu si wakati wa kupumbaza watu wanaoelewa. Makanisa hayakushuka duniani zaidi ya watu kukaa na kuweka taratibu. Ndo maana kuna mikutano ya maamuzi ya makanisa mbalimbali. Na tunakokenda usiishi kidini ndani ya Ukristo. Ukristo wa kujitenga umeisha. Ndo maana siku hizi maaskofu wana common understanding juu ya Ukristo.
Mkuu wewe ni Gwajima mwenyewe au vipi?
Wale wa "Askofu" Kibwetere walisema hivyo hivyo, na mwisho waliangamia.
Nyee na kutojua wengine wanajua. Tafuta magazeti yaliyoonyesha walaka kusomwa katika makanisa ndo useme kanisa lake halikubali.
Mimi sikubaliani n Askofu Pengo lakini njia aliyotumia "Askofu" Gwajima haina upako.
Tofautisha TEC na Jukwaa la Wakristu mkuu halafu lete hapa saini ya Kardinal. Nasema ushahidi huo uko kwenye mihemko katika uhalisia haupo.
Unaweza kuwaita pia maaskofu ukawa
Kwani Pengo alikuwa anapingana na walaka gani ndugu yangu. Na pengine hujajua jukwa la Wakristo ni mwamvuli wa makanisa yote. Tamko alilozungumzia Pengo ni la Jukwa la Wakristo na si la kanisa lolote.
Tuwekee hapa msimamo wa TEC nao tuuone. Acheni kulazimisha yaliyoko vichwani mwenu ndo uwe msimamo wa Kanisa Katoliki. Na kuanzia sasa jaribu kufahamu kuwa Jukwaa la Wakristo halisimamii Kanisa Katoliki..Jifunze mambo haya.
Halafu Mavazi ya Kikuhani ni SUTI.. HHHHHHHAHHHAAA