Ndugu Zangu mnajiangaisha bure na mijadala lukukuki !! Lakini muelewa Nchi hii ni ya watu wawili tu Mkatoliki na Msunni ! ! Hakuna mdudu mwengine atakabidhiwa Nchi !!
Maneno aliyotumia kumkosoa askofu Pengo hayakustahili kwa kiongozi yeyote wa kidini.Maneno yalikuwa makali yasiyovumilika kamwe.Kiongozi yeyote wa dini anatakiwa awe na busara na hekima anapotaka kumkosoa kiongozi mwenzie na sio kumtukana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.