Maaskofu mmevuna mlichopanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maaskofu mmevuna mlichopanda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHUAKACHARA, Jun 8, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikijiuliza sababu ya kukaa kimya Viongozi wa dini serikali inapofanya uonevu kwa raia na kutotenda haki. Mmekuwa mkishindwa kukemea maovu mengi ya serikali. Sasa serikali imewageuka. Tazama milikopelekwa mbele ya jamii.
  Tafakari, chukua hatua
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Chaguo la mungu limeamua kusema ukweli
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chaguo la Wajinga na Mafisadi
   
 4. m

  mkulimamwema Senior Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aisee nimekumbuka waliwahi kusema Kikwete ni chaguo la MUNGU sasa chaguo limeamua kusema ukweli wa mambo ili waache kuuza madawa ya kulevya wamtumikie MUNGU kwa uaminifu,hongera chaguo kwa kusema ukweli tena wakamate uwapeleke mahakamani.
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Chaguo la mungu yupi? Labda chaguo la MAFISADI.
   
 6. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maaskofu 'JK ni chaguo la Mungu' hongera JK wasute zaidi
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wrong enemy!
   
 8. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mhasham PENGO NI KWELI ALIYOSEMA KIKWETE kule mbinga? mbona kama hamfanani nahayo maneno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! . Binafsi naona kama vile uandae chakula na pombe kwako kisha umkaribishe mpitanjia umlishe na kumnywesha then akilewa anaamua kukunyea mbele ya wanao hii ni fedhea?
   
 9. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  acha jaziba hiyo ni siasa tu. ona sasa umemtukana hadi mzazi wako, kwani alimchagua JK wewe umemwita mzazi ni mjinga, kweli unafanya hivi? ivi mzazi wako kakusomesha ili uje umtende hivi. Kamuombe msamaha mzazi wako kwa kumtukana usipofanya hivyo utamuombea mbele ya Mungu kitu ambacho kitakuwa kibaya kwako.
   
 10. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  Dhambi ya ubaguzi inaanza kuwatafuna
   
 11. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hilo sio chaguo la mungu acha kumkashifu......Mungu hachagui mtu fisadi, mwizi mtupu anachekacheka wakati watu wanakufa kila kukicha
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama kweli mzazi mwenye hekima na busara alimchagua JK....ni fisadi's tu wenzake
   
 13. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ye yote anayemtetea JK kwa hili ana mapungufu ya ubongo. Tangu lini akina Bishop Laizer, Pengo, Mokiwa , etc wakawa drugu baroons?
   
 14. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,956
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Haya ni matokeo ya kukata tamaa na kutokujiamini. Inaonekana mkuu ameamua kupiga makombora kila mahali kwa kuwa hana uhakika na mahali adui aliko. Kaanza na mawaziri wake,karudi kwenye chama, mara...wapinzani, sasa kaona kichaka kwa viongozi wa dini.

  Mwishoni ataichakaza nchi nzima. Angekuwa kweli ana taarifa za kuaminika, hakuna sababu ya kulalamika hovyo.

  Tungemuona yuko makini kama angeibuka na kutaja hadharani hao wahusika pamoja na hatua walizochukuliwa au watakazochukuliwa. Sasa kama mkuu anabaki kulalama, sisi wananchi tufanyaje?
   
 15. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hii serikali ya ajabu sana. Kama mnawafahamu wauza dawa za kulevya si muwatie mbaroni na kuwashitaki mahakamani? Rais mzima unaanza kuimba nyimbo za ajabu ajabu hadharani badala ya kuamuru kukamatwa kwa watuhumiwa. Wale maaskofu wanakushangaa sana. Wauza dawa za kulevya wote unawafahamu.

  Unataka kutuambia nini unapowaambia maaskofu mambo yasiyowahusu? Mbona humtaji yule Mhindi mwenye tuhuma kibao uliyemuagiza aifadhili timu fulani kwa kutumia fedha chafu zinazotokana na biashara hiyo haramu? Huu unafiki wa nini?
   
 16. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Walipaswa sana kuacha ushabiki wa kisiasa tangu mwanzo wa regime hii, walipaswa wawe marefa kwa uongozi uloingia madarakani na wananchi kwa kushirikiana na wazee wenzao ndani ya chama kinachotawala(hapa wangelimsaidia mzee mwinyi na kawawa kuirejesha ccm ktk mstari baada ya minyukano ya ndani ya ccm kumpata kikwete, walilisahau hili wote kama maaskofu, wasisi wa chama na kuwaacha mtandao wakiendelea huku walioshindwa na mtandao wakiugulia pasipokujua wapi wakililie au kupata faraja... Haya tuyaonayo ni matokeo ya uzembe wa maaskofu wetu, na wazee aliowaachia kambarage jahazi la ccm kukubali kuegemea na kuacha utamaduni wa kukosoana na kuridhiana ndani ya chama na kuiweka nchi mbele....), maaskofu kama mngeifanya hii kazi vizuri sidhani kama mkuu angelithubutu kuwakoga hadharani....., sasa anapaswa na yeye aseme maana anahisi kuwa aliachiwa mzigo wa kujiponya peke yake ndani ya chama....au anawaona ni chanzo cha matatizo yake..., tafakarini ili muijenge nchi na siyo mtu. Kidumu chama cha mapinduzi
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mungu amamwotesha.
  Tusubiri tuone hii miaka minne ataoteshwa mangapi?
  Mi naona hana haja ya kuwa na vyombo vya dola kwani kama mtu anajishuku ajisalimishe. Na kama hawezi kazi ajiondoe serikalini,kama ni kibaka sero zifunguliwe wachome ndani wenyewe.
  Sijawahi kuona nchi ya maaajabu kama hii.
  Wananchi wakilia na rais hulia.
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa nchi anakuwa analalamika badala ya kuchukua hatua.Is it proper?
   
 19. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  kama walivyo binadamu wengine,ndani ya viongozi wa dini wamo wanaofanya uovu na kujificha chini ya mwavuli wa dini.
   
 20. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kwanini isiwezekane. Kwani wao Malaika? Wacha kuwa na akili mgando.
   
Loading...