Maaskofu mkoani Mbeya wa pinga tamko la kamati ya ulinzi ya mkoa

Maaskofu mkoani Mbeya wa pinga tamko la kamati ya ulinzi ya mkoa

Tumefika hapa tulipo kutokana na mafundisho tunayoyapata katika nyumba za ibada.


viongozi wa dini wameacha kufundisha namna ya kuifikia PEPO wanafundisha binadamu tuchukiane.

Akili zote nyembamba kabisa ambazo pia zina ubongo wa KIDINI zimetufikiha hapa.
Kutetea UDINI wa aina yoyote ni ukosefu wa busara na akili..

 
QUOTE=MAMA POROJO;5760045] dhamana ya kulibadili taifa letu lisiangukie kwenye udini iko juu ya mikono yetu.[/QUOTE]


Ni leo ndo unalijua hilo? Wewe ni mmoja wa waliokuwa wanahubiri Udini sana humu.
 
kaka yako po..nd.a yupo sero ananyea ndoo mmeogopa kwenda kumpa ushirikiano?
Ponda si wa kwanza kukaa gerezani hata mandela alikaa.Kifungo chake kinamwagilia ufahamu zaidi juu ya uwepo wa mfumo kristo katka nchi yetu ambao unawanyanyasa na kuwadhulumu waislamu.
 
Tuwe makini jamani hii chuki inayopandikizwa madhara yake yatatukumba sote hakuna atayepona. Poleni Watanzania wenzangu.
 
Ponda si wa kwanza kukaa gerezani hata mandela alikaa.Kifungo chake kinamwagilia ufahamu zaidi juu ya uwepo wa mfumo kristo katka nchi yetu ambao unawanyanyasa na kuwadhulumu waislamu.

Mfumo Kristo ulimtumaje akatapeli kiwanja cha watu? Achana na akili za kushikiwa binti.
 
Kuna kitu kinanitatiza, hizi haki ambazo waislamu wanazitaka ni zipi? Maana Uislam ni siasa, uislam una bendera una katiba yake una sharia, kiujumla una taratibu zake. Sasa kuomba haki kwenye serikali isiyo na dini hili linatoka wapi? Aidha serikali iliyopo iondoke ije inayoongozwa kwa sharia au ikae kimya kwa kufuata iliyopo isiyo na dini. Kuomba serikali ndani ya serikali huo ni uhaini. Tafadhali mashehe waambieni watu wenu ukweli. Na kweli itawaweka huru. Ni ushauri.
Tundu Lissu kwenye kitimoto ITV alisema watu pekee wenye uwezo wa kutunga sheria, na kuzisimamia na kuzitekeleza wenyewe bila kuingiliwa na Taasisi nyingine yoyote ni BUNGE na KANISA KATOLIKI
 
Ponda si wa kwanza kukaa gerezani hata mandela alikaa.Kifungo chake kinamwagilia ufahamu zaidi juu ya uwepo wa mfumo kristo katka nchi yetu ambao unawanyanyasa na kuwadhulumu waislamu.

Nani anaewadhulumu km sio ujinga wenu?pelekeni watt shule,sio kukariri vitabu vya dini!
 
QUOTE=MAMA POROJO;5760045]dhamana ya kulibadili taifa letu lisiangukie kwenye udini iko juu ya mikono yetu.


Ni leo ndo unalijua hilo? Wewe ni mmoja wa waliokuwa wanahubiri Udini sana humu.[/QUOTE]

Umoja na mshikamano wa watanzania ni zaid ya jambo lolote kwetu.

JF inatunza kumbukumbu zote tafuta post yangu yoyote ya huko nyuma ambayo nahubiri udini ilete hapa.....
 
Ni leo ndo unalijua hilo? Wewe ni mmoja wa waliokuwa wanahubiri Udini sana humu.[/QUOTE]

JF inatunza kumbukumbu zote tafuta post yangu yoyote ya huko nyuma ambayo nahubiri udini ilete hapa..... Tenda haki utashikwa uongo.
 
Mlikua wapi nyie wafia dini? Suala la kuchinja ndio CHANZO cha kila kitu lakini sasa mbona hili suala sio kesi kabisaaaa kwa wanaoijua dini Yao vizuri, kwani nyie mapadre zmani mlikua mnachinja? Mbona sherehe zenu huwaita waislam kuwachinjia?

acha unafiki, leta data hapa
 
haya ngoja tuone,mnafikiri mbeya zenj eeh!

Yaani kama ni kukosea ni pale walipoipeleka hii mambo mbeya...!! Wametaka kwenda kuanzisha UDINI Mbeya.!? utawageuka na serikali wataiona chungu, waendelee kuwalaghai wanaolaghaika dadadaeki
 
Huyu anaejiita askofu ndio hao wachochezi.leo maaskofu wa kweli walikutana na uongozi wa serikali mkoa na wameridhia tamko la serikali mkoa na wao watenda kuwaeleza waumini wao.
 
haya ngoja tuone,mnafikiri mbeya zenj eeh!
Yani we mama umekurupuka usingizini ukaja kuposti hichi ulichoposti !

Sasa zanzibar na hii mada vinahusiana nini ?

Jana tamko lilipotelewa mlishangilia na mkataka lije hadi huku Dar... kisa wale waliolitoa wana majina yanayofanana na ya kwenu !

Leo mmesikia Mapadri wanalipinga hili tamko ....mnaanza kuwaona wale jamaa zenu wa jana wajinga !

Kwa ujumla mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa akaachwa aende zake....

Kwa taarifa yako zanzibar si mbeya ......
Mbeya wanachuna watu ngozi , Zanzibar wanchuna pweza...
Mbeya Albino ni dili ,wakati zanzibar halua ndio dili...

Vipi Hii posti inawakilisha CHADEMA au CHRISTIANITY ?
 
Nani anaewadhulumu km sio ujinga wenu?pelekeni watt shule,sio kukariri vitabu vya dini!

Ok sisi wajinga ... nyinyi werevu si tunawaona mnavyoongea Lugha za ajabu ajabu kwenye TV zenu ....
Mnaruka ruka utafikiri ndama ....Halafu yule anayewarusha anataka michango kupitia TIGO pesa....

Utasikia Ghwee hhgidkgihgid khdhhdb.....
Mnatapeliwa mchana kweupe halafu mnajiita mmesoma.....

Siku mkija kijichoma moto kama Mjomba wenu Kibwetere sitashangaa
 
...JF inatunza kumbukumbu zote tafuta post yangu yoyote ya huko nyuma ambayo nahubiri udini ilete hapa..... Tenda haki utashikwa uongo.
MAMA POROJO, unachosema ni kweli? Nitapitia post zako, nikikuta kuna post ume-delete ndio itakuwa yenye uchochezi!!!
 
Last edited by a moderator:
Naona hii SINGLE aliyoitunga Kikwete kwenye uchaguzi wa 2010 kuwakomoa CHADEMA inazidi kupata VERSE tu...

Hadi anaondoka nchi vipande vipande,,,, ila ajue The Hague kuna BARIDI sana kule sio mahali pazuri kumalizia maisha ya uzeeni. Wenzie akina Mwinyi wako hapa hapa bongo wanakula pensheni so yeye kwenda kulia pensheni kwenye sero za Hague ni kitu mbaya sana

nakushangaa huongelei yule aliyeua watu pale mwembechai na kule pemba kwa kutumia jeshi lake la polisi kupelekwa the Hague unahangaika na huyu anayehangaika kutafuta wauaji ambao hata mwenyewe hawajui. hapatatosha. patachimbika, hata kama hiyo chadema ya kanisa ingetokea ikawa ikulu, kitu ambacho ni ndoto za mchana peupe.
 
Kuna kitu kinanitatiza, hizi haki ambazo waislamu wanazitaka ni zipi? Maana Uislam ni siasa, uislam una bendera una katiba yake una sharia, kiujumla una taratibu zake. Sasa kuomba haki kwenye serikali isiyo na dini hili linatoka wapi? Aidha serikali iliyopo iondoke ije inayoongozwa kwa sharia au ikae kimya kwa kufuata iliyopo isiyo na dini. Kuomba serikali ndani ya serikali huo ni uhaini. Tafadhali mashehe waambieni watu wenu ukweli. Na kweli itawaweka huru. Ni ushauri.
Haki ya kuchinja ng'ombe au mbuzi au sungura au kuku wangu kwa ibada yao!! hawatagusa tena wapuuzi wasiojua kula na vipofu!!
 
kwanini ni ndugu zetu waislamu ni wabishi na hawataki kuelewa? toeni data za huo mnodai ni mfumo kristo. tatizo lenu ninyi mnaona elimu ya dini ndio kila kitu. soi kweli changanyeni vyote elimu ya dunia na ya dini ndio mtakuwa waelewa.
 
Back
Top Bottom