UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
RT
Sisiem ni wanyama!Dah so sad mkuu! Hayo maneno yako yamekosa ubinadamu
Watu wengine bwana, huwa mnatoa maoni kama vile mmekatwa kichwa!!!Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.
Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.
Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Tofautisha Taifa na mtu Hapa amejadiliwa mtu na si taifa.Kwa hiyo na wewe una maana gani kuendelea kusambaza hii post ambayo haina la maana??? Malengo yako ni nini? Wewe sio mtu mzuri kwa Taifa la Tanzania. Haaayaaaaa..............
Kaazi kweli kweli!Maandishi ya Ben Saanane
Mwisho wa kumnukuu
Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
Amemtaja Prof. Kitila hapo kuwa ni rafiki/kaka yake, n.k.Maandishi ya Ben Saanane
Mwisho wa kumnukuu
Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
Hata hao wanaotumika kuwaua na kuwapotoza wenzao kwa sababu zozote zile nao watakufa tu. Hawawezi kuishi na kufurahia matendo yao milele . Wako wapi wababe wa dunia ?! Hitler , Bokassa , Mobutu , Amin , Ghadaffi nk. Sisi sote ni wa kupita tutendeane kisheria na hasa kulipiza uwema pale unapoona umetendwa ubaya.Asiyefunzwa na mama yake basi huyo atafunzwa na ulimwengu.Rais wetu tulimchagua wenyewe kwa kumkubali yeye na kwa sera za chama chake.Mambo ya PhD hayakuwepo kwenye maaganao yetu ya kumpa uongozi wa nchi.Mambo ya darasani yaache hukohuko.Mbona hakuhoji shahada yake ya kwanza na ya pili?Tunakubali nchi hii kweli kuna watu wanajua sana.Lakini hata ujue sana na kusoma sana huwezi kumtukana baba yako mzazi kuwa hakuwa na sifa za kumuoa mama yako mzazi ambaye ni msomi.
Tunasikitika sana kupotea mtu kwa kitambo chote hiki na tunamuomba Mungu arudi salama huko alikojificha. Lakini kama kweli ni yeye aliyeandika hilo bandiko lako hapo juu la kukashifu kiongozi wa nchi yetu basi Mwenyezi Mungu amrehaemu.
Damu ya Ben inaendelea kutiririka mikono ya bashite na ally hapi. Baba aliyewatuma ndiye kawa mitsuko cha dunia.Asiyefunzwa na mama yake basi huyo atafunzwa na ulimwengu.Rais wetu tulimchagua wenyewe kwa kumkubali yeye na kwa sera za chama chake.Mambo ya PhD hayakuwepo kwenye maaganao yetu ya kumpa uongozi wa nchi.Mambo ya darasani yaache hukohuko.Mbona hakuhoji shahada yake ya kwanza na ya pili?Tunakubali nchi hii kweli kuna watu wanajua sana.Lakini hata ujue sana na kusoma sana huwezi kumtukana baba yako mzazi kuwa hakuwa na sifa za kumuoa mama yako mzazi ambaye ni msomi.
Tunasikitika sana kupotea mtu kwa kitambo chote hiki na tunamuomba Mungu arudi salama huko alikojificha. Lakini kama kweli ni yeye aliyeandika hilo bandiko lako hapo juu la kukashifu kiongozi wa nchi yetu basi Mwenyezi Mungu amrehaemu.
Truth!Huu mjadala wa Ben hapa JF ni kama kutonesha 'donda ndugu' kila linapoanza kuonekana kama linaanza kukauka. Too bad for the bright young fellow. The future seemed to be open for him, waiting to be filled by his presence in it!
Angekuwa ndugu yako ingekuwaje?Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.
Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.
Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Amemtaja Prof. Kitila hapo kuwa ni rafiki/kaka yake, n.k.
Na baada ya mda si mda, Prof. Kitila akawa alipo hadi sasa!
Sijasema kwamba kuna uhusiano wowote; maana 'coincidence' nazo huwa zinavuruga mwonekano wa mambo mengi.
Huu mjadala wa Ben hapa JF ni kama kutonesha 'donda ndugu' kila linapoanza kuonekana kama linaanza kukauka. Too bad for the bright young fellow. The future seemed to be open for him, waiting to be filled by his presence in it!
Kila ukisoma walichoandika baadhi ya watu wa humu JF hadi unajiuliza kama ni watu halisi kweli ama ni Roboti, miti ama ni wanyama mwitu waliopewa miili ya kibinadamu na muumba wao!!??
Ktk kondoo wengi wanaochungwa na mchungaji ikisadikika kuwa mmoja tu hayupo mchungaji huwaacha wote akaenda kumtafuta huyu mmoja. Wakristo tumeaminishwa kuwa kondoo mmoja ana thamani kuliko wengi uliosalia nao.
Lazima tumjadili Ben saanane.
Mungu anamuona huyo alompoteza ben, come 2020 atakufa