Maandishi ya mwisho ya Ben Saanane

Maandishi ya Ben Saanane

Mwisho wa kumnukuu

Je, huenda post hii ndio ilikuwa sababu ya kutoonekana kwake hadi leo?
Amemtaja Prof. Kitila hapo kuwa ni rafiki/kaka yake, n.k.

Na baada ya mda si mda, Prof. Kitila akawa alipo hadi sasa!

Sijasema kwamba kuna uhusiano wowote; maana 'coincidence' nazo huwa zinavuruga mwonekano wa mambo mengi.

Huu mjadala wa Ben hapa JF ni kama kutonesha 'donda ndugu' kila linapoanza kuonekana kama linaanza kukauka. Too bad for the bright young fellow. The future seemed to be open for him, waiting to be filled by his presence in it!
 
Asiyefunzwa na mama yake basi huyo atafunzwa na ulimwengu.Rais wetu tulimchagua wenyewe kwa kumkubali yeye na kwa sera za chama chake.Mambo ya PhD hayakuwepo kwenye maaganao yetu ya kumpa uongozi wa nchi.Mambo ya darasani yaache hukohuko.Mbona hakuhoji shahada yake ya kwanza na ya pili?Tunakubali nchi hii kweli kuna watu wanajua sana.Lakini hata ujue sana na kusoma sana huwezi kumtukana baba yako mzazi kuwa hakuwa na sifa za kumuoa mama yako mzazi ambaye ni msomi.
Tunasikitika sana kupotea mtu kwa kitambo chote hiki na tunamuomba Mungu arudi salama huko alikojificha. Lakini kama kweli ni yeye aliyeandika hilo bandiko lako hapo juu la kukashifu kiongozi wa nchi yetu basi Mwenyezi Mungu amrehaemu.
Hata hao wanaotumika kuwaua na kuwapotoza wenzao kwa sababu zozote zile nao watakufa tu. Hawawezi kuishi na kufurahia matendo yao milele . Wako wapi wababe wa dunia ?! Hitler , Bokassa , Mobutu , Amin , Ghadaffi nk. Sisi sote ni wa kupita tutendeane kisheria na hasa kulipiza uwema pale unapoona umetendwa ubaya.

PhD kama ni ya halali mbona mnakuwa wakali inapohojiwa ?!. Tuvumiliane
Nchi zingine tumeona viongozi wakihojiwa mahakamani kwa matendo yao yasio ya kiutu. Lakini kwetu ni sawa na kuhoji uwezo wa mwenyezi Mungu .
 
Asiyefunzwa na mama yake basi huyo atafunzwa na ulimwengu.Rais wetu tulimchagua wenyewe kwa kumkubali yeye na kwa sera za chama chake.Mambo ya PhD hayakuwepo kwenye maaganao yetu ya kumpa uongozi wa nchi.Mambo ya darasani yaache hukohuko.Mbona hakuhoji shahada yake ya kwanza na ya pili?Tunakubali nchi hii kweli kuna watu wanajua sana.Lakini hata ujue sana na kusoma sana huwezi kumtukana baba yako mzazi kuwa hakuwa na sifa za kumuoa mama yako mzazi ambaye ni msomi.
Tunasikitika sana kupotea mtu kwa kitambo chote hiki na tunamuomba Mungu arudi salama huko alikojificha. Lakini kama kweli ni yeye aliyeandika hilo bandiko lako hapo juu la kukashifu kiongozi wa nchi yetu basi Mwenyezi Mungu amrehaemu.
Damu ya Ben inaendelea kutiririka mikono ya bashite na ally hapi. Baba aliyewatuma ndiye kawa mitsuko cha dunia.
Eti phd sentence ya kiingereza zero. reasoning zero. Subirini hata bachelor na master zihojiwe tu
Haiwezekani kutwa Kuchar unaongelea chemistry ya form one. Eti catalyst catalyst catalyst give us break vyeti fei tu period
 
Kila ukisoma walichoandika baadhi ya watu wa humu JF hadi unajiuliza kama ni watu halisi kweli ama ni Roboti, miti ama ni wanyama mwitu waliopewa miili ya kibinadamu na muumba wao!!??
 
Huu mjadala wa Ben hapa JF ni kama kutonesha 'donda ndugu' kila linapoanza kuonekana kama linaanza kukauka. Too bad for the bright young fellow. The future seemed to be open for him, waiting to be filled by his presence in it!
Truth!
 
Hili taifa lina watu 50M,kumzungumzia Ben Saanane toka mwaka jana hadi leo ni kupoteza energy.

Kama yupo mafichoni analog in kwa ID fake, big up kwake kawashika wengi.

Kama alishafariki basi tuseme RIP..........lets move on.
Angekuwa ndugu yako ingekuwaje?
 
Amemtaja Prof. Kitila hapo kuwa ni rafiki/kaka yake, n.k.

Na baada ya mda si mda, Prof. Kitila akawa alipo hadi sasa!

Sijasema kwamba kuna uhusiano wowote; maana 'coincidence' nazo huwa zinavuruga mwonekano wa mambo mengi.

Huu mjadala wa Ben hapa JF ni kama kutonesha 'donda ndugu' kila linapoanza kuonekana kama linaanza kukauka. Too bad for the bright young fellow. The future seemed to be open for him, waiting to be filled by his presence in it!

Moja ya matukio ambayo kwa hakika kuna siku humanity will have to know what exactly happened. Tumuombe sana Mungu hiyo siku isiwe mbali!
 
Kila ukisoma walichoandika baadhi ya watu wa humu JF hadi unajiuliza kama ni watu halisi kweli ama ni Roboti, miti ama ni wanyama mwitu waliopewa miili ya kibinadamu na muumba wao!!??

Naam; kweli kabisa. Lakini kwa sehemu kubwa hawa ni watu wa kawaida, Watanzania tu kama sisi. Huu ushetani wanaotuonyesha hapa jf ni kazi tu ambayo wametumwa kuifanya kwa ujira! Uongozi ni Utume; Mungu atusaidie sana.
 
Hili la Ben duuh !!.Inanikumbusha kisa cha mcha Mungu mmoja wa kiyahudi katika hizo zama za taurati anaitwa Uzair.Mwenyezi Mungu alimpa usingizi wa miaka 40 na kumwamsha kisha akarudi kijijini kwake akakuta mabadiliko makubwa ndani ya miaka 40.Huenda hili nalo likampata Ben akarudi Tanzania baada ya miaka mingi.
 
55 Reactions
Reply
Back
Top Bottom