Bhakusyobhile
Member
- Aug 1, 2018
- 47
- 127
Ngoja wataalamu waje.Habari wana-jamii forum?.Naomba msaada,..Kuna gari hapa imekuja kutoka JAPAN (ni NOAH TOWNACE) imekuja na maandishi kwenye kioo cha mbele,pembeni kwenye bonet na nyuma. Ni maandishi yaliyo andikwa kwa wino mweupe kwa miandiko tofautitofauti,nadhani ni wakati wanafanya clearing kwenye mabandari.Sasa nimejaribu kufuta lakini hayafutiki.,Je naweza kutumia njia gani kuyafuta pasipo kudhuru gari?maana yanaleta show mbaya kwenye gari!
Moderator hawatendi haki, member kama nyie ni kupigwa life ban maaana michango ya hivi ndiyo inaleta Tafsir kwamba JF imekuwa jukwaa la ovyo ovyo ona sasa Hata huyu Amber Rutty naye yuko humu... shit.Mwagia mafuta ya taa then washa moto...kua makini Kwenye kuzima ukishindwa wapigie fire nazani watafta kiufasaha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Your free to liveModerator hawatendi haki, member kama nyie ni kupigwa life ban maaana michango ya hivi ndiyo inaleta Tafsir kwamba JF imekuwa jukwaa la ovyo ovyo ona sasa Hata huyu Amber Rutty naye yuko humu... shit.
Uo mda ulio tumiakunijibu unge utumia kumjibuMtu anauliza kitu cha maana unaleta uambaruty kwenye uzi wa tu. Si uulize na wewe upupu huo watakujibu wenzako! Wapo mnaofanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani sisi wajinga wajinga wenzako.Tunaongea mambo ya maana wewe unaleta mambo yako mliyofundishana na huyo a.m.be.r.uty.Mwagia mafuta ya taa then washa moto...kua makini Kwenye kuzima ukishindwa wapigie fire nazani watafta kiufasaha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana-jamii forum?.Naomba msaada,..Kuna gari hapa imekuja kutoka JAPAN (ni NOAH TOWNACE) imekuja na maandishi kwenye kioo cha mbele,pembeni kwenye bonet na nyuma. Ni maandishi yaliyo andikwa kwa wino mweupe kwa miandiko tofautitofauti,nadhani ni wakati wanafanya clearing kwenye mabandari.Sasa nimejaribu kufuta lakini hayafutiki.,Je naweza kutumia njia gani kuyafuta pasipo kudhuru gari?maana yanaleta show mbaya kwenye gari!
Napenda nikitongoza demu anitukane. - JamiiForumsUnadhani sisi wajinga wajinga wenzako.Tunaongea mambo ya maana wewe unaleta mambo yako mliyofundishana na huyo a.m.be.r.uty.
Bora ungekaa kimya...form one ni form one tuMwagia mafuta ya taa then washa moto...kua makini Kwenye kuzima ukishindwa wapigie fire nazani watafta kiufasaha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid....Mwagia mafuta ya taa then washa moto...kua makini Kwenye kuzima ukishindwa wapigie fire nazani watafta kiufasaha zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta mitungi ya shisha - JamiiForums
picha niyaone