Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

na kisasi chako ndo kinaenda kuuza na kubariki ukandamizaji wa uhuru wa maoni , hii migawanyiko ndo ililiuza bara letu , watu wakisema mzungu kwasabab ya hiki na kile wakaja kustuka mzungu kashajiimalisha , na hv tunavyomlea Mama kwasababu ya dhambi za Ndugai kabla hili tukio , ipo siki yatakukuta ndo utakumbuka
Aendee tu...yeye ndo alikuwa hatak maon huru ya wabunge...lkn hata kaul aliyotoa ilikuwa na maslai yake binafsii..mbona kpnd cha mwendazake alikuwa anakopa lkn kauli kama hiz alikuwa hazitoi..hii inamaana kwamba kuna namna alikuwa ananufaika na hii mikopo kwa kupewa %flan iv...sasa kpnd hik mama kaamua kumsusa ndo maana kajitoa shimon kuja kumfokea mama
 
tangu lini Ndugai akawa mwema ivyo mpk watu waandamane kwa ajili yake?
Au nyinyi wengine mmeanza kumjua jana Ndugai
 
Tukumbushane
IMG_8348.jpg
 
Hlf ndo nyinyi mnasema hatuwez kujiendesha kwa tozo wakati huo huo tozo mnaipangia mahesabu makubwa , mnakuwaga mmetumia mjani nn ?
Una shida ya uelewa,kwa hiyo hayo mahesabu makubwa ndio nini? Ulipo japo Hata huelewi hizo tozo ni Bei gani unajisemesha tuu.
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
Yanaongozwa na Bavicha
 
Wewe ni mbumbumbu,Samia ndio kaleta mfumuko wa bei? Hujui kwamba ni global issue iliyosababishwa na covid?

Usipate shida kama vipi hamia huku mfumuko wa bei uko chini Sana maisha ni simple

View attachment 2071484

View attachment 2071485

View attachment 2071486

View attachment 2071487

View attachment 2071488

View attachment 2071489
Acha mambo ya kingese, wala haya ma attachments hayosemi chochote kuhusu covid. Tuliza msambwanda utoe hoja zinazohusiana na tukio husika.
 
Niseme Kwa kifupi kwamba, Ndugai alitoa mawazo kuhusu mikopo ya nchi na tozo kuwakilisha kilio cha wananchi wengi, ila nasikitika kwamba ccm wameshinikiza ajiuzuru Kwa maslahi ya chama Chao.

Jambo kama hilo ni hatari Kwa watu wengine wenye mawazo mbadala katika kusemea matatizo ya wananchi wa hali ya chini.

Hivyo watanzania ni vyema tukaandamana kumuunga mkono Mh Ndugai Kwa uthubutu ule wa kuweza kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini, Pia kuwapa moyo watu wengine wenye mawazo mbadala kuzungumzia matatizo ya wananchi wa hali ya chini
WaTanzania wepi waandamane,naona sasa miccm mnaanza kupata wazimu ,kama ni kuandamana basi ni madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Madai ya kuihitimisha na kuitimiza ile katiba Mpya.

Aungwe mkono au mguu ? Kwa kubwa lipi ni bora ungelisema MiCCM muandamane na sio kuwashirikisha waTanzania wote,mbona wengi tulikwishaandamana na tuna uzoefu mkubwa tu,lakini kwa kuungana na liCCM ndugai,awaambie au wambieni wale covid 19 waandamane .
 
Back
Top Bottom