Nipo kariakoo maeneo ya sokoni, yamepita maandamano ya baadhi ya waislamu wakihamasisha wengine, wanapita wakiimba, ila hakuna vurugu yoyote, wameelekea barabara ya Msimbazi, hapa kimepita kikundi cha watu wasiozidi 50.
Sasa sijui ilikuwa imepangwa au ndo inaanzishwa, na kesi ya Ponda ni lini?
Waangalie vizuri wanakoelekea.
Bila shaka wanaenda kwa mama Lishe kupata msosi, si unajua mida ya kula hii.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Kuandamana ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania.Hatahivyo wananchi wanapaswa kufuata taratibu za nchi kabla ya kufanya maandamano,ikiwepo kupata kibali kabla ya maandamano!Waache waandamane,nchi hii kila mtu ana haki ya kuandamana,juzi waliandamana POLISI