OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
Watafanya kazi SAA ngapi??Tatizo liko wapi watu wakiandamana?
Watafanya kazi SAA ngapi??Tatizo liko wapi watu wakiandamana?
Kwanza hawawezi kuandamana wanaongea tu.Mtu aandamane apate cha moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimelipata Mkuu,hili hapa:
Mtukufu Sheikh Professor Alhaji Dr. Yahya Abdul-Aziz Awal Jemus Junkung Jammeh Naasiru Deen Babili Mansa.
Hakika nawaaambia ya kwamba hakutakuwa na maandamano wala jaribio la maamndamanoKama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Rais ni mtukufu... His excellency. Mungu ni mtakatifu.. UsichanganyeMleta uzi wewe ni koyoyo... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya
Swissyou
Utawala kwa maana uraisi wa nchi yetu,unachangamoto nyingi,na kila rahisi ameingia na staili yake.Kila raisi ametumia nguvu ya kipolisi kudhibiti maadamano,hakuna hata mmoja hakuvunja katiba tokea kwa Mwl Nyerere tena yule alishiriki hata kuwachapa viboko yeye mwenyewe.Inategemea na na mazingira
Jibu swali uliloulizwa na sio unauliza kabla ya kujibu.Tatizo liko wapi watu wasipoandamana?
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Wanaotaka maandamano ni viongozi hizi mmmachinga na masikini wa kijijini anataka democracy ya kuzunguka nchi nzima kusema mimi nilishinda uchaguzi wakaniibia watu wanataka kufanya biashara,kupata soko la mazao yao maisha mazuri, vyama kwa mawazo yangu kwa sasa vijikite kusaidia jamii kujikwamua kama wameshindwa kujenga ofisi tu na ruzuku kibao mimi napata shida ,nenda mikoani uone kama wanashidwa kununua kiwanjwa kwa milioni 1-5 tu na kujenga ofisi kwa milioni 10 wilayani bado kuna shidaKama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.
Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.
Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.
Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].
Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.
Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Usiwe na hasira Shem muelewe anachomaanisha......
Mtoa uzi naomba nitofautiane na wewe, unachokisema kinaweza kuwa kweli lakini sio lazima kiwe ukweli. Katika press ya leo Chadema wanasema wapo tayari kwa mazungumzo, what if serikali ikakubali kubadilisha msimamo wao wakazungumza na kuruhusu mikutano? Nadhani wataacha kuandamana na huu unaweza kuwa ushindi wa pande zote, serikali na wapinzani. Hiki ndicho wengi tunachotegemea.
Huyu Luis farakhan akae na hizo siasa zake hukohuko yankee kiubishiubishi hata Sisi tutasonga tu.
Ufafanuzi wa CHADEMA kuhusu taarifa ya kuahirishwa Operesheni UKUTA.
MPEKUZI / 3 hours ago
CHADEMA inapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu andiko linalosambazwa mitandaoni likimnukuu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe kuwa ameahirisha Operesheni UKUTA na maandalizi ya Septemba 1.
Tunaomba umma upate taarifa sahihi kuwa Mwenyekiti Mbowe hajafanya mkutano na waandishi wa habari mahali popote pale kuzungumzia kuahirisha Operesheni UKUTA inayoendela nchi nzima wala kuzuia maandalizi ya Septemba 1.
Kupitia taarifa hii, chama kinawataka viongozi, wanachama, wafuasi, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA na Watanzania wote wazalendo na wapenda haki, kupuuza andiko linalosambazwa mitandaoni .
Msisitizo unaendelea kutolewa kuwa Operesheni UKUTA ambayo imelenga kusimamia utawala unaoheshimu Katiba ya Nchi na kulinda sheria na maandalizi yanaendelea nchi nzima.
Imetolewa na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
CHADEMA
Visit website