Maandamano ya Majogoo

Jovegg

Member
Nov 17, 2011
64
8
Majogoo waliamua kufunga barabara na kufanya uharibifu mkubwa kama kufukuafukua mashimo kwenye barabara ya Ilala Buguruni wakipinga matumizi makubwa ya mimba za wake zao.
Walipo ulizwa walidai ugomvi wao mkubwa ni wauza vipsi na waungwana wa ki2nda.
Wanachotaka ni angalau chipsi ifanywe yai moja na si mawili tena.
 
Hayo maandamano lazima yasitishwe haraka sna na wachinja kuku wa soko la Kisutu, Manzese. Mansipaa ya Ilala ikawafungulie kesi hayo majogoo kwa uharibifu wa mali ya umma.
 
...teheeee, mayai ya wake zao hatutumii sana. Yana bei kubwa. Tumetengeneza kuku wetu selfu sevisi wanajitagisha wenyewe.
 
Mh! Mpaka kuku waje kuwa na ushirikiano hivyo cjui na sisi waTz tutakuwa hivihivi bila ushirikiano na msimamo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom