Maandamano ya kumpongeza JAKAYA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya kumpongeza JAKAYA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Apr 12, 2011.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  WanaJF

  Najua wengi itakuwa inawauma lakini ndo hivyo mambo yamekuwa
  Baada chama kubwa kuzaliwa upya na kuwatema mafisadi, wananchi wengi wamefurahia uamuzi huo na sasa waandae maandamano ya kumpongeza Jk kwa kazi nzuri aliyoifanya

  Nafikiri clouds fm watafanya kazi nzuri kuutangazia umma kwa mapokezi ya kihistoria kwa JK
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Safi tutakuja.Hivi hapo kwenye blue katemwa nani au propaganda?
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,963
  Likes Received: 404
  Trophy Points: 180
  Dont celebrate as of yet, bado Edwadi anaweza kukubana mbavu kabla ya 2015!!!
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Watz wengi hawatumii akili hata chembe. Kwani MAKAMBA ndiye gamba la CCM? Kuandamana kwa hilo haina tofauti na kumpa mtoto mdogo pipi anyamaze kulia lia. Mwenyewe anajua Watz wamebana hadi basi na hwana jinsi ya kuweka tena mambo level maana chochote watakachofanya ni unafiki tuuu. Ufisadi ndio jadi yao .Wataachaje?
   
 5. T

  Tabby JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,901
  Likes Received: 5,543
  Trophy Points: 280
  Jey Key,

  Thread yako haieleweki mara wengi imewauma mara wananchi wengi wamefurahi tuelewe lipi? Labda pengine ni tatizo la uandishi. Naomba utusaidie ili twende pamoja. Amewatema wapi mafisadi na ni akina nani hao? Wametemwa kutoka wapi? Kutemwa huko kumewasaidia nini Wananchi walio wengi? Hayo maandamano ya kihistoria unayopanga kuyafanya ni kwa lipi jk kawafanyia wananchi hadi waache kufanya kazi za kupambana na ugumu wa maisha eti wakang'ang'ane kumwandamania JK?
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  cheap leaders always look for cheap popularity and cheap politics....
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Maamuzi magumu ya JK. Hii ni kama mboga ya kujipikilisha watoto wadogo. Maana haina maana yoyote. Rais wa nchi kufanya mchezo huu wa kitoto ni hatari halafu eti Tumevua gamba!!! Muasisi wa makundi ndani ya chama! Muasisi wa Udini Ndani ya nchi yake! Muasisi wa ufisadi! Halafu muvua magamba wengine wakati lake la kichwani kama Helmet limeng'ang'ania! Tutaona mengi. Maana baada ya hapo Watanzania watarajie maisha bora! mfumuko wa bei umeshashuka! Mafisadi wote wamerudisha pesa za wadanganyika wa 1947! No foleni! Kigoma tayari dubai! Kagera tayari meli ya kisasa! Viwanja vya ndege vimeshaota! MASKINI WATANGANYIKA NA MUSWADA SAFI WA KIJANI!
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Waandamabe tuuuu,
  si wanalipwa
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hope clouds wataandaa haya maandamano
   
 10. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mnaomuunga mkono mna haki ya kuandamana hilo halina ubishi, andamaneni. Halafu nilifikiri serikali hii ni ya ccm. Watawachukulia hatu za kisheria mafisadi wote? Wote waliosaini mikataba ya kifisadi watashitakiwa wakiwemo waliohusika na IPTL??? Kazi kwenu mpongezeni nyoka kwa 'kujivua gamba shingoni'...!!!
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Gamba limeisha vuka tayar
   
 12. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Mafisadi hawatemwi ili chama kiwe safi. Wanatemwa kupisha mkondo wa sheria uchukue nafasi yake. Tabia zenu za kubadili rangi ya gamba halafu mwajidai mmelivua imehatuchosha.
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Ni lini ccm imewatema mafisadi wewe! Hawajesema ivo wamesema wamevua gamba tu na kuwapa siku 90 wenzao. Vp ukumbuki jk alipowapigia goti mafisadi akiwaomba warudi ela ya EPA? Ujui ahadi za jk,uwa hazitimii,subiri cku90 ndo ulete ujumbe wako.
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,937
  Likes Received: 12,207
  Trophy Points: 280
  Unapoona maandamano ya CDM unafikiri kuandaa kazi rahisi unaweza kujikuta mwenyewe siku ya maandamano muulize Shitambala atakusimulia.
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Gamba lipi!!?,la kumuondoa Makamba!!?,Makamba kawaibia nini wananchi!!?,au alikuwa akiwakejeli wananchi!!?,ni hilo tu ndio litakalowafanya muache kazi zenu na kwenda kwenye maandamano yasio na tija.Hivi hili gamba walilolivua ccm linawasaidia vp wananchi masikini!!!??Nyoka anapojivua gamba haimaanishi ataacha kuuma na kutema sumu!!,Tuambieni wale wote wanaohusika na rushwa,UFISADI uliobadilika fasheni kwa viongozi mmeshawafanyia nini akiwamo Jk mwenyewe vinginevyo mtakuwa mnapiga propaganda huku mkiwaacha Watanzania walio wengi kubaki masikini mwanzo mwisho kuanzia ktk elimu mpaka mlo wao..R.I.P ccm
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Hilo nyomi unaliona?
   
 17. U

  UMMATI Member

  #17
  May 19, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ufukara wa fikira, waloenguliwa CCM siyo mafisadi kwasababu hawapo kwenye orodha ya Rais wetu wa ukweli Dk. WS iliyotolewa pale Mwembe yanga. Wametolewa kisa wanasema kweli na haki na Makamba ana msimamo. Ila huyu Mkama na Mnauye wanaburuzwa tu kama yule spika Mpya kule Mjengoni.
   
 18. U

  UMMATI Member

  #18
  May 19, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakiandamana polisi waue watu kama kule Arusha.
   
 19. U

  UMMATI Member

  #19
  May 19, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa wakiandamana wanapeleka ujumbe wapi?
   
 20. f

  forty Member

  #20
  May 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Chama cha magamba; 20 - 0 =2..........kazi kwelikweli.
   
Loading...