Maandamano ya kumpongeza JAKAYA

Maandamano ya kumpongeza JAKAYA

Kila mtu ana haki ya kufanya maandamano ili mradi havunji sheria ya nchi, so kwa sababu hiyo nyie andamaneni tu kusifia ujinga.Hivi unadhani waliotunga usemi wa WAJINGA NDO WALIWAO walikosea?Nendeni mkaliwe.
 
IMG_8102.JPG
 
Tatizo Tanzania si ufisadi, ni ufugaji wa mafisadi. Jee, mfugaji pia anaondoka na halafu akubali wote wachukuliwe hatua? Haya mambo hayaishii kujiuzulu tu, lazima wote hawa na kubwa lao watiwe ndani, mali zao wanyang'anywe. Sisi hatukubali chini ya hapo!
 
wale wenye upeo mdodo wa kufikiri, watampongeza. LAKINI great thinkers wataclap hands from politeness
 
Mkuu mbona unajichanganya nani anafanya mapokezi!! alafu watuambie Mkuu wa kaya amefanya yapi ya kupongezwa wakati yeye mwenye anasema Jamii inamuona afanyi kitu yy na Serekali yake kwy Semina endelevu kule dodoma.
Mkuu apa siyo sehemu ya Mzaa
 
Sijui kwanini CCM wanaona waTZ ni wajinga kiasi hicho! Yaani wanapiga bla bla tu; wamesema wanawafukuza mafisadi, baadaye wakakanusha, sasa wanaandaa sherehe kujipongeza kwa 'kazi kubwa'! Inahitaji akili ya mwenda wazimu tu kuelewa
 
Na mimi ntaandamana!
By the way Hayo maandamano yanafanyikia Bagdad au Pyong yang?
 
kwani wewe huon mafisadi yanafukuzwa?

Fisadi gani aliyefukuzwa ndani ndani ya chama? Mbona yote yanapeta tu na kadi zao! Wengine urafiki haukuanzia barabarani, ulianzia kwenye madeal.
 
Back
Top Bottom