Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

Kweli hapo nimekusikitisha kwa kushindwa kutumia google kwa jambo ambalo halihitaji kuwa na degree kama ulivyosema. Lakini bado sijui pa kwenda kwenye google. Nisaidie kuelewa, "United States Department" ndio nini?Hili nalo linahitaji degree kulijuwa? mbona tunavunjana moyo kiasi hiki? kama wewe una access ya kutumia internet halafu hata matumizi ya Google hauyafahamu! hili linasikitisha kuliko maelezo.
Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department.
unapokosoa inabidi uwe makini zaidi ya unayemkosoa na siyo kurudia makosa yaleyale, lakini la zaidi ni kwamba jf tunajadili hoja.Badilisha hiyo, sema 'naunga' usitusemee, wengine hatuungi mkono kabisa.
Kupinga Kikwete na kutokuona anayoyafanya, ni udini wa waziwazi wala haupingiki.
Niambie ni Rais gani aliyetengeneza Kilomita 11,300 za barabara za lami tokea mkolonni, nyerere, mwinyi na mkapa?
U.S Department unaweza kufananiasha na neno hili "Wizara za serikali ya federali ya Marekani".
Nisaidie kuelewa, "United States Department" ndio nini?
Dhima ya maandamo iwe "KIKWETE AJIUZULU" Tutambembeleza mpaka lini kuwashughulikia mafisadi miaka 5 sasa na amegoma ni muda wa Kikwete kuondoka sasa...!
Mama Fazaika Foxy, inaonekana wewe ndiye unayetetea dini badala ya hoja na kazi za JK. Hivi kuna mjinga gani anayeweza kukuelewa kuwa JK amejenga km 11,000 ndani ya miaka 6. Hivi unajuwa kuwa mpaka sasa TZ haina hizo kilometer za rami? Hivi unajuwa kuwa kilometer 11000 za rami zinacost zaid ya 11 Tillion ambayo ni karibu sawa na bajeti ya nchi hii kwa mwaka?
Inawezekana kabisa kuwa NIA ipo ila uwezo hakuna. Period!!
Kweli kazi ipo: ingia U.S. Department of StateKweli hapo nimekusikitisha kwa kushindwa kutumia google kwa jambo ambalo halihitaji kuwa na degree kama ulivyosema. Lakini bado sijui pa kwenda kwenye google. Nisaidie kuelewa, "United States Department" ndio nini?
Soma katiba yenu inasemaje kabla kukurupuka kuandika jambo.
Lakini kumbukeni hao wanaotaka kufanya hao maandamano kama kweli wapo baso zaidi ya 92% ni wamarekani walioukana uraia wa Tanzania hususan wa pale silver spring DC.
kama kweli walikuwa wazalendo kwanini waliukana uraia wa TZ.
Unafiki mtupu zaidi ya propaganda. lakini tusiandikie mate na wino upo. Tuwe na subra tuone.
Hebu nitajie bajeti hata moja ambayo ilitekelezwa kama ilivyopitishwa na bunge, bajeti zenyewe za kupitishwa baada ya kugawa bahasha utasema tuna bajeti sisi, hatutaki mambo ya kwenye bajeti feki, tunataka tuone barabara tena za viwango, sio hizi za aina ya Kilwa Roadkabla kubisha pitia bajeti ya mwaka huu iliyosomwa na magufuli utaona hilo. baadaye lete hoja
Aliye anzisha udini na ukabila katika thread hii ni FaizaFoxy.
Pahala ambapo angeliweza kupinga hoja ya mwanzilishi wa thread kwa urahisi tu, kwa kuleta hoja mbadala, yeye kaamua kuangalia Ukristo na Uchagga wa mwanzishaji. Kufanya hivyo ni kero na ni jambo la kukemewa.
Soma katiba yenu inasemaje kabla kukurupuka kuandika jambo.
Lakini kumbukeni hao wanaotaka kufanya hao maandamano kama kweli wapo baso zaidi ya 92% ni wamarekani walioukana uraia wa Tanzania hususan wa pale silver spring DC.
kama kweli walikuwa wazalendo kwanini waliukana uraia wa TZ.
Unafiki mtupu zaidi ya propaganda. lakini tusiandikie mate na wino upo. Tuwe na subra tuone.
Wewe ulitaka ukanyimwa? hao wazunu wataibeba hiyo ardhi waende nayo kwao?
Halafu hao hao wazungu unaowasema kwa kupewa ardhi waiendeleze haohao ndi unataka kwenda kufanya maandamano kwao, haohao ndio unategemea wanunue mazao yako, haohao ndio unawategeme wakuletee madawa kwa wagonjwa wako, haohao ndio wanaokusomesha huko Merekani, haohao ndio unakwenda kwashtaki kwao wenyewe kwa maandamano? Una akili kweli hapo? au unaenda kumshtaki Kikwete kwa dini yake? Fikiria.