<br />Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe <br />
<br />
<a href="mailto:EliakimMallya@yahoo.com">EliakimMallya@yahoo.com</a>
Wewe hujui kufanya kazi huko ni kunufaisha nchi ya nje? Kwa nini Marekani ina-hire wataalamu wakafanye kazi nchini kwao?kama kwenda kufanya kazi Marekani ni kwenda kunufaisha mataifa ya nje basi mwambie JK awarudishe nyumbani Asha Rose Migiro na Mwanaidi Maajar. hawa ni kwa uchache tu orodha ni kubwa.
Nakushauri uamie jukwaa la jokes + utani kule ndio hadhi yako, hapa unapwaya mno si jukwaa la watu wenye akili Half glass empty.
Mimi sio ndugu yako. Uwe umekaa DC au umekaa Chalinze hainihusu. Hata wakiwa waandamanaji wawili pia ni maandamano. Usinifundishe uoga.Ndugu yangu nimekaa sana DC kwa takriban miaka miwili na Watanzania wengi utawapata mitaa ya Silver spring. hakuna kitu cha namna hiyo ila ni propaganda tu.
unamaanisha nini? yaani hao diaspora wamemualika JK ili wakamuandamanie? Poor understanding my be Chekechea school?For the first time now I can see Diasporas making sense towards ukombozi wa kweli wa Nchi yetu
Wenzenu wameanza kupora vitu madukani usiku huko Londo! Isije ikawa munatafuta gear tu ya kufanya uhalifu!
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
Tanzania kuna amani hebu tembea mtaani uhesabu watu wangapi wanatabasamu ndio utajua hakuna amani nchi hii. Amani maana yake sio kutokuwa na vita Nish. There is a lot of unseen wars among Tanzanians hujui tu.kweli wtz tumechoka na amani iliyoko
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
JK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa.
Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
kweli wtz tumechoka na amani iliyoko
A blatant lieJK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa. Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
None but ourselves can free our country,i'm not fear for mabomu ya machozi or polisi/jeshi coz none of them can stop us!We got something the cant never take away and that is our ability!!