Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,558
- 109,095
Mwingereza ni vizuri ukaja hapa kutoa maelezo, pengine kuna sababu za msingi ninyi kushindwa kufanya hivyo
kukaa kimya ni dalili ya kuwachezea watu akili
Mwingereza na kundi lake walipewa $2500 kila mmoja na mchezo ukaishia hapo hapo.
Source:Mwingereza.
Mi nafikiri wamefanya hivyo! Lakini wame2angusha sana hasa wadau wapenda haki wa Jf hakika ile THREAD ya Mwingereza iliniletea faraja kwa namna ilivyokuwa makini kwa muda lakini baada ya 2kio ikawa tofauti kbs na lengo guswa. Lkn tuwe na IMANI ya kwmb siku si nyingi hw magamba watajuta kwa yote waliotutenda. Wao wana Pesa Sisi tuna MUNGU!Labda waandamanaji walikusanyika DC jamaa akawapiga chenga akaenda NY!
Mkuu tembelea kwenye Jamii Photos kuna thread moja inamwonyesha JK na Membe wakisalimiana na BEKI tatu wa Hosteli waliofikia picha inaacha maswali mengi. Kwa hiyo unaweza kuendelea kwa wakati wako mkuuWanajamii wote salam sana kutoka hapa Vanyua Ndorwe Usangi Mwanga Kilimanjaro Tanzagiza.
Kuna yale maandamano yalionadiwa sana kwenye page hii ya Kumpinga mkuu wa Kwaya kuingia USA. Lengo langu si kuwakosoa walitupasha habari zile ila nikutaka kufahamu nini kimejiri huko Marekani.
Kuna baadhi ya hint nimezipata kutoka kwa watu mbalimbali lkn naomba nithibitihibitishiwe mimi pamoja na watanzania wengine tunaoangamia kwa kunyimwa maarifa.
1. eti walitoka watanzania 250 wakaandamana
2. Habari hiyo ikanyimwa coverege na Media zetu za kibongo
3. Nimezoea kumuona Mkuu wa Kaya akiwa Abroad kwenye misafara kutoka air port lakini kwenye dicota nilimuona ukumbini akiimbiwa wimbo wa Taifa na watoto.
Wenzetu please mnaojua kilichotokea tuambieni na picha mtuwekee. Kiasi fulani itasaidia kuhamasisha na wabongo wengine waliopo abroad wafanye hivyo.
Mkuu hao walio pokea wanalipwa na chama tawalaNawashangaa mnaobisha mishahara mpaka jana mzigo ulikua bilabila halafu mijitu mingine inabisha,hivi mnatumwa kupinga kila kitu humu ndani wakati watu mambo hayajakaa sawa? Acheni Uzoba nyie kuitetea serikali hii legelege
Ukianza kumchuna ng'ombe lazima umalize na mkia. Thread kibao zilimwagwa humo JF kwamba kuna watu eti wenye uchungu na Tanzania wamejipanga kumdhalilisha Rais Kikwete akifika Washington DC kwa kuwa ameshindwa kutawala nchi, nikawa mmoja wa wapingaji wa thread hizo na kuthubutu kusema haiwezekani. Sasa suala hilo liliishaje?
inawezekana hii ndiyo kazi yako kukanusha ukweli, maana wengine mna akili ya makengeza, unataka kutuambia kuwa wahasibu mwezi huu wamekuwa wazembe kiasi hicho, acha dharau WEWE, hatujapata mishahara na wenye nyumba wanadai KODI ZAO. nimesikitika sana kuona tuna watu ambao hoja zao ni za jumla jumla kama ww I HAVE TO QUESTION UR LEVEL OF UNDERSTANDING, Na kama umesoma basi uko kwenye kundi la watu ambao wana poor analysis ya issues. Pia kama umetumwa nakupongeza kwa kuukataa ukweli
tumechoka haya marudio. Inavyoonyesha we ni mgeni Jf.