Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Ukweli ni kwamba maandamano hayajawai kutatua tatizo, wala hatokuja kutatua tatizo. JK is an incompetence president period, I doubt kwamba sababu sisi tutaandamana then tutabailisha is political position.
Kama tunataka maendeleo ya kweli tuchague viongozi wenye uweleo, na sio kuchagua watu sababu tuu wanapendeza mdomoni au unafanana nao kiimani.
Ukweli ni kwamba maandamano hayajawai kutatua tatizo, wala hatokuja kutatua tatizo. JK is an incompetence president period, I doubt kwamba sababu sisi tutaandamana then tutabailisha is political position.
Kama tunataka maendeleo ya kweli tuchague viongozi wenye uweleo, na sio kuchagua watu sababu tuu wanapendeza mdomoni au unafanana nao kiimani.
Sijakuelewa hata! Plz come again.Nimesema awali kuwa waandaaji washalamba vipande thelasini,hii yote ilikuwa mitkas ya kuingiza mkwanja.Wabongo nuksi.Poleni kwa muda wenu na nguvu za kuchangia mawazo kwenye thread hii..Playboy anarudi zake home watu wanendelea kula bata.THIS WORLD IS FOR SMART PEOPLE ONLY.
na kwamba mtakuwa mmelamba hivyo vipande vitatu vya dinari.Ezan: Kuna tetesi ambazo sijazifurahia sana kwamba watu wa usalama wa Taifa waliondoka Tanzania hivi karibuni na zaidi ya Dola 3,000,000 kwenda kuwarubuni watu wachache wenye influence katika haya maandamano, nitaumia sana kama itakuwa ni kweli yatazuiwa kihivyo.
Waandaaji au niseme maco ordinator washakula kipande cha nguru ili wapotezee hayo maandamano.Tuendelee kupambana hukuhuku homeSijakuelewa hata! Plz come again.
hiyo DACOTA imepangwa kufanyika lini?... kwa kuwa huwa hana aibu lazima atakuja huyu.....
Hiyo ikiwa kweli jamaa itakuwa wamejidhalilisha sana-ingawa bado naamini kuwa watanganyika wenye uzalendo wa kweli na nchi yao wapo na hao ni miongoni mwao, lets wait the story. Ila habari hii inadhihirisha kuwa Tanganyika imejaa wajinga na wezi waliopitiliza, maana ile kufikiria tu wanaoandamana wanaweza kupozwa na bn 4.5 ni wizi na ujinga, sikwambii ikiwa wamefanya kweli kuhusu hilo.Waandaaji au niseme maco ordinator washakula kipande cha nguru ili wapotezee hayo maandamano.Tuendelee kupambana hukuhuku home
Hiyo ikiwa kweli jamaa itakuwa wamejidhalilisha sana-ingawa bado naamini kuwa watanganyika wenye uzalendo wa kweli na nchi yao wapo na hao ni miongoni mwao, lets wait the story. Ila habari hii inadhihirisha kuwa Tanganyika imejaa wajinga na wezi waliopitiliza, maana ile kufikiria tu wanaoandamana wanaweza kupozwa na bn 4.5 ni wizi na ujinga, sikwambii ikiwa wamefanya kweli kuhusu hilo.