Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
watanzania wanaishi tanzania acheni ujinga wenu ninyi!

Kwa hiyo unataka kusema kuwa kwa wakati huu Kikwete si mtanzania mpaka atakaporudi Bongo ! Watanzania wanaoishi Tanzania siku akirudi na kukanyaga tu ardhi ya Tanzania mpokeeni kwa mabango na hivyo hivyo watanzania wanaoishi nje ya Tanzania akitia mguu tu huko apokelewe kwa mabango. Kila mahali atakapofika iwe ndani au nje ya Tanzania ni mabango tu hadi ajute kwa nini alikimbilia Ikulu huku hana uwezo wa kuongoza !
 
mkuu mwingereza we wish u all da best in that move-tuko pamoja
 
Maandamano ya ndani ya NCHI hayajaonyesha badiliko lolote la maana. Haya ya huko DC tutarajie nini? Mimi nawasubiri NATO wafanye kile walichokifanya kule Libya tu.
 
Maandamano ya ndani ya NCHI hayajaonyesha badiliko lolote la maana. Haya ya huko DC tutarajie nini? Mimi nawasubiri NATO wafanye kile walichokifanya kule Libya tu.

mkuu maandamano ya ndani ya nchi hapa kwetu ni balaa si unajua polisi watu wamefundisha kuwapiga risasi za kichwa waandamanaji?? sasa huko nchi za wenzetu waandamanaji husindikizwa na Polisi.....acha yafanyike huko
 
Reactions: LAT
JK alipingwa na Waislaam wa kweli wegi sana.

Mwinyi, umesahau kibao alichonaswa Diamond?

Inaelekea hili limekugusa na kukushtua sana. Hata hivyo unavyoendelea kulalama ndivyo unavyojichanganya mwenyewe na pumba zako. Shame on you
 
Reactions: LAT
Mung awatangulie, nadhani mwisho unaonekana sasa. Mara nyingi vikwazo huwa vingi mafanikio yakianza kuonekana. Na watakalofanya ndilo litakalokuja kuwaongezea adhabu. Nimeyabariki hayo maandamano.
 
Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa

kwakuwa wamejitambulisha kuwa ni watanzania basi wanaupokea ushauri wako Kushughulikia matatizo ya Uchumi ya Tanzania kwani wameona nchi yetu inavyo didimia
 
Walioko ndani ya Tanzania wengi ni mazuzu na akili yao bongolala. Hata kudai haki zao za kimsingi wanaogopa

Mkuu hakuna bongo lala. Huku ukiandamana, jiandae kupoteza viungo kabisa. Ila ipo siku, vumbi litakalotoka TZ, Mungu atupe nguvu.
 
Hamna lolote udin tu mnataka jk aonekane hafai subirin islamic jihhad znakuja kwa style hii mtaomba po wnyw
 
Hamna lolote udin tu mnataka jk aonekane hafai subirin islamic jihhad znakuja kwa style hii mtaomba po wnyw

kama ID yako ilivyo.... nimeamini kweli ni mtanzania nunda
 
Jamani tunawatakiwa kila la heri tupo pamoja nanyi, na wengine tunakuja kushiriki pia.
 
Jamani tunawatakiwa kila la heri tupo pamoja nanyi, na wengine tunakuja kushiriki pia.

Tunaona Vasco-Dagama anajaribu kukwepa mtego mzima. Wazalendo ndani ya Msafara wake wameshatutonya
 
Kila la kheri ndugu zetu, fanye kweli na MUNGU atakuwa pamoja nanyi.
 

hizi akili zingine sjui huwa zinagandamana na makamasi! hata kama ni wajibu kwanini hamuutangazi wajibu huo? mmekalia tu kusema madhaifu mbona ya cdm ya kumwua chacha wangwe hamyasemi? ukabila hamtaki kuuwacha? ujambazi na uhuni hapa igunga hamtaki kuukimbia? na makada wenu wanaovuta miibangi kila kona ya igunga pamoja na kubeba machangu kwa ruzuku za cdm hamtaki kuyaandamania? shenzy type!
 
CHADEMA maandamano New York yamefikia wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…