Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.

Hiyo ni kazi ya Sin bin Clair na kampuni yao ya kuiba kule magharibi mwa Tanzania. Walifukia watu sembuse .. .... .... ... unajua mali ya mwizi huliwa na mchwa.
 

Naomba msome huo mwaliko taratibu ili muelewe exactly nini hawa wa-canada wanasema. Sentensi kama hii "Learn directly from one of Africa's leaders in peace and prosperity on how Canadians can access unique opportunities" Maana yake nini hasa baada ya kasheshe za Barrick?
 
"Jifunze moja kwa moja kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Afrika kwa amani na ustawi wa jinsi Canada wanaweza kupata fursa ya kipekee"
 
Ndiyo maana nili ibold hiyo sentenso. Tuko mstari mmoja.
 
Reactions: FJM
Mbona inaelekea Vasco kashtukia hiyo dili haji tena, atatuma mawaziri...:sick:
 
Wenzetu hebu tupeni Up-dates huko kinachoendelea; mabadiliko ya kweli nchini yataletwa tu na sisi Vijana kwa kuwa na mshikamano pamoja na ujasiri wa kusema 'HAPANA' pale penye kustahili kama hivi wenzetu mlivyoonelea ni vema na sisi tumeamua ku-wasapoti kwa kukubaliana na hoja mlizoziweka mezani juu ya madai haya mazito kitaifa.
 
Maandamanao ya ughaibuni yatasaidia mabadiliko nyumbani
Shime jamani tuwaokoe watu wetu na dunia ijue tabu za watz kuanzia maji,umeme,ugumu wa maisha nk
 
Mbona inaelekea Vasco kashtukia hiyo dili haji tena, atatuma mawaziri...:sick:
Huo pia ni ushindi wa waandamanaji hadi rais wa nchi kuahirisha ziara unafikiri ni kitu kidogo, kwa sababu US, States Department lazima walikuwa na taarifa ya ziara ya mkuu wa nchi kwa hiyo inabidi ziara iwe cancelled na sababu zitolewe usifikiri kitu cha kuahirisha kama yeye kwenda Bagamoyo.
 
Jakaya atakuja USA na hakuna wa kumfanya kitu

hatumkatazi kuja. sisi tunataka aje tumuaibishe, tunamsubiria kwa hamu sana. na akija ndo furaha yetu, kwa sababu tunataka kuandamana dhidi yake. na matayarisho tayari. nyie mliokula mali za umma tumbo zinawauma... huyu ni kama ghadafi pamoja na mwanae fisadi ridhiwani. janga la taifa. kikwete ni hatari kuliko ukimwi na ufisadi kwa pamoja
 
hII NDO RALLYING POINT YETU <b><a href="http://www.facebook.com/pages/Maandamano-Dhidi-Ya-Kikwete/116927725072759?v=wall" target="_blank">FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE</a> TUNAWOMBA KUJIUNGA TAFADHALINI WATANZANIA WENZANGU</b>
<br />
<br />
jiunge na familia yako
 

Hiyo haitowezekana hapo kama mnazungusha 8 kwenye maji, mpaka sasa mpango wenu hautofanikiwa mbinu zenu tumeishazijua
Rais atakuja na hamtaweza kumfanya lolote
 
Jasusi na Mkandara...

Yaani najihisi vibaya, nahisi kama vile rais wetu anatumika kama vile wanyama walio zoo!!! Kumuona inabidi ulipe

OMG
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…