Uko cheap sana wewe, hatukuoni, hatukujui, lakini mungu anakuona na atakuhukumu kwa ku shiriki kuwadhulumu watanzania wakiwemo ndugu wa ukoo wako.Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa
Wawe Wamarekani au Watanzania wameamua kuandamana kumpinga JK, unatamani ingekuwa ni hapa TZ muwamwagie maji ya kuwasha??? Na hii itasababisha JK apunguze safari za nje, Safi sana.Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa

Kweli kabisa mkuu yaani huku tuko kimya utafikili tunamaisha mazuri,mpaka ndugu zetu wa mbali waanzishe bana huu ni ujinga sio woga,hebu tuungane kumpinga jamani hali hii mpaka lini?

Mtoa mada hawezi kuwa hana dini and so wachangiaji,mtu anahukumiwa kwa alichosema,nioneshe katika maelezm yake alipozungumzia mambo ya dini!Au ukabila!

Twafadhali sana Faiza! Mi naona una walakini,Hebu ngoja tusubirie kidogo siku si nyingi. Maana utacheka bila ya kupenda. Mageuzi ni Sasa!

maneno mengi lakini utakalazaji zero. Au mnataka kama yale yanayoendelea Uingereza.

Hakuna lolote zaidi ya kutaka kuleta shari nchini mwenu. Kwanza malizeni yale ya Arusha kwanza kabla kufikiria mengine.
Kupinga Kikwete na kutokuona anayoyafanya, ni udini wa waziwazi wala haupingiki.
Niambie ni Rais gani aliyetengeneza Kilomita 11,300 za barabara za lami tokea mkolonni, nyerere, mwinyi na mkapa?

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com
Udini na Ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga Kikwete ni nini? zaidi ya dini yake?

Uko cheap sana wewe, hatukuoni, hatukujui, lakini mungu anakuona na atakuhukumu kwa ku shiriki kuwadhulumu watanzania wakiwemo ndugu wa ukoo wako.
Yani awe mchaga au ****** au msambaa swala la msingi hapa WaTz wanaoishi Washngton DC wanaandamana kumpinga JK. Kule hakuna FFU wala maji yakuwasha. Ni lazima boss wenu aumbuke mtake msitake.Kwa kusherehesha hapo huyo ni CHADEMA. Kwani wao ni wapenda shari ndani ya nchi yenu
WAKATI MALAWI WAPEPIGA MARUFUKU FOREGN TRIP ZOTE KWA VIONGOZI WA UMA HUKU KWETU NAONA CHRSTOPHER COLUMBA ANAZIDI KUSPEND.
KAMA VIPI TULIANZISHE KAMA MALAW.
WAINGEREZA NDO WAINGEREZA WAMELIANZISHA CC TUNASHINDWA NINI?
Yani awe mchaga au ****** au msambaa swala la msingi hapa WaTz wanaoishi Washngton DC wanaandamana kumpinga JK. Kule hakuna FFU wala maji yakuwasha. Ni lazima boss wenu aumbuke mtake msitake.
Big up sana ndugu zangu wa Washington dc, tunawaunga mkono na ninaandaa ujumbe wa kuandika kwenye mabango. Safi sana.