Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
 
Da Faiza, Tuletee umeme na gasoline kwanza then ndio uongee kuhusu muuza sura wako Mkweree
 
Ukizozana na MWEHU na wewe utadhaniwa kuwa ni MWEHU! Hilo ndio langu la kuchangia leo. Wapenda maendeleo ngoja tuongelee kuhusu Haya maandamano yetu! game on!!
 
hv hz data ni za shule au majosho ya mifugo?yani madarasa ya kata nayo unaita shule?shame on u!

Hayo majosho ya Ng'ombe yametowa wanafunzi bora waliowashinda hata wanafunzi wa mashule ya kulipia, tumewaona wakienda Bungeni kupongezwa, hata magwanda walishangilia, au hujui hilo? Kama unafikia kuwaita Watanzania wenzako ni "mifugo" inaonesha ni mtu wa aina gani wewe, nakusikitikia sana kwa ufinyu wako wa mawazo.

Hoja zimekushinda na umeshindwa kujibu hata moja, unaanza kubwabwaja. Unanchekesha!
 
Da Faiza, Tuletee umeme na gasoline kwanza then ndio uongee kuhusu muuza sura wako Mkweree

Hilo swali lako la umeme mbona nimesha kujibu post #602 au hukulipenda?

Kuhusu gasoline naona hukusikiliza bunge la jana na hukuona kilichoendelea leo vituo vya mafuta! Unanshagaza!
 
Hilo swali lako la umeme mbona nimesha kujibu post #602 au hukulipenda?

Kuhusu gasoline naona hukusikiliza bunge la jana na hukuona kilichoendelea leo vituo vya mafuta! Unanshagaza!

Sasa mzee Symbion vipi? bado anatutatulia tatizo la umeme au umemwacha chumbani? Hii kumtetea JK kutakupeleka kubaya sana "P" au unatetea maslahi yako na Symbion?
 
Ukizozana na MWEHU na wewe utadhaniwa kuwa ni MWEHU! Hilo ndio langu la kuchangia leo. Wapenda maendeleo ngoja tuongelee kuhusu Haya maandamano yetu! game on!!

Mwehu ni yule anaetembea hovyo barabarani akijidanganya nafsi yake kuwa hakuna anachofanyiwa na Serikali yake jiulize wewe umeifanyia nini nchi yako? nna uhakika huna hata moja zaidi ya kulalamika. Na mtu anaelalamika sana nimeonewa, nimeonewa, ujuwe hilo ni vivu la kutupa linataka likae liletewe kila kitu. Fanyeni kazi wacheni majungu.
 
Hilo swali lako la umeme mbona nimesha kujibu post #602 au hukulipenda?

Kuhusu gasoline naona hukusikiliza bunge la jana na hukuona kilichoendelea leo vituo vya mafuta! Unanshagaza!

Licha ya Symbion, bosi wako kaishiwa. Akienda Marekani basi ni mwenda wazimu. Anakwenda kujidhalilisha mbele ya vitoto. Na huku ajue hakuna kutuma FFU!
 
Symbion Kimyaaaa! ilivyokuwa ya Muislaam, kelele nyingi, halafu mkaona mmemkomoa kumbe mmjikomoa wenyewe. Mitambo kaiuza kwa faida na hapa fedha kalipwa kibao. Burdaaan wa sharaba.

Umefaidiaka vipi na symbion wewe mama. Tuanze kuanika, alafu mwenyewe ujitetee. mimi ni mwislamu sijui utaleta udini gani sasa. Kwa maana nimechoka na JK. Jibu kwanza ni faida gani unapata toka Symbion alafu nianze kuchangia mada, jinsi unavyofaidika. Nyumba ya upanga nk... ntaweka hadi na picha, usidhanie hapa watu wapumbavu
 
Ukahaba si alinifundisha mamayo au umesahau?

Ungekuwa unaijuwa maana ya Forum usingeyasema hayo, na ungetaka tusichangie kwenye hii nyuzi si mngeji pm tu. fyuuuuuu!

Wee wacha, subiri na wewe ujilete, tunawaambia makamanda huko marekani wakutengenezee bango na JK. Nyie mnajifanya wasaidizi wa Rais kumbe mnamlala mzee wa watu tu? na kumdanganya juu yake. Unaona maslahi symbion inayeyuka siyo?
 
Weka unangoja nini? nimefaidika sana tu, nazila taratiiiibu. Lakini kodi nazilipia ni kamishen za halali kabisa hazina utata, na kwenye mikataba zipo. Njoo tu, Upanga si unapajuwa upige foleni ya zakaat.
 
Shule gan unazozisemea.?hz zilizozalisha div 0 na 4 kwa wing ambapo wamevunja rekod ya kufel vibaya toka 2napata uhuru,.vyuo gan unavyozungumzia? Udom ambao wahitimu wake hawapat mafunzo kwa vitendo..puuuu si bora asingeanzisha mana anazalisha wajinga afu nyie mnaita wasom he he he he
 
Weka unangoja nini? nimefaidika sana tu, nazila taratiiiibu. Lakini kodi nazilipia ni kamishen za halali kabisa hazina utata, na kwenye mikataba zipo. Njoo tu, Upanga si unapajuwa upige foleni ya zakaat.

Comission ya nini wakati wewe ni mtumishi wa serikali? Mshaara wako na marupurupu ya kuzunguka na JK haiwezi kukupa hela ulizonazo.
 
Kamwambie mbayuwayu hv..2nataka umeme, 2nataka ajira, 2nataka kilimo chenye tija, 2nataka maisha bora kwa kla mzanzania kama alivyotuahid..ha2tak tuzo ya Un..ha2tak takwimu..ha2tak tabasamu wala kilio..na kwa kuwa haja2pa 2taandamana mana ndo lugha mnayoiogopa sana na ndomana upo hapa..kamwambie kamwambie kamwambie
 
Hiyo 2 ungejuwa maana yake usingeziandika.
 
Wakuu komalianeni na huyu fisadi hadi kieleweke. Akija marekani nitajua kweli Jk ni tahira.... Rais gani atafanya ujinga wa kwenda kwenye nchi ya watu kama marekani kwenye mambo ya kijinga ambako angetema viongozi wa chini kujidhalilisha na maandamano. CNN wakitaka kujua, kisa, jibu DICOTA?....Laana kusema kweli
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…