idadi ya shule kitu gan ww?umejaribu kutazama ubora wa elimu?ni kwel km amefanya meng zaid ya hao waliopita lakini kumbuka maendeleo ya nchi yetu hayalingani na rasilimali zilizopo hapa nchini mama.

Siku 40 za vasco dagama kuaibika mbele ya jumuia ya kimataifa imewadia. It is too late to act kama unadhani points zako zitawavunja moyo walioamua kuandamana.
na kikwete alitoa wapi vyandarua?Bado nawategemea wakoloni wawafundishe namna ya kuishi. Mna kazi sana nyie wakimbizi wa Tanzania
Sijajua kama Ngeleja na Jairo walikuwepo wakati wa Kambarage's administration!
Shule moja wanafunzi 400 walimu wawili...bora kutokuwa na shuleOver 2000 Secondary Schools in 5 Years, over 168 Industries in 5 Years, Over 11,000Kms of Roads signed and under construction, over 3000MW of electricity signed and under construction, fiber optic trunk, whole of Tanzania, over 18 regions, 56 districts are already enjoying it.
Haya leta ma apple kama hayo kwa marais woooote kabla yake uwachanganye pamoja.
Dada hiyo mbeleko unayombebea Mk-kwere mwisha sasa itakua nzito na kuchanika.
Lisa Rockerfeller kalifanyia kitu gani taifa letu la Tanzania?
Mkweree nchi imemshinda, bora kama alivosema mdau mmoja kwamba kuwekwe robot ikulu iwe programmed inaweza kufanya kazi nzuri kuliko huyu foreign trips-loving president aka Vasco da Gama
Shule moja wanafunzi 400 walimu wawili...bora kutokuwa na shule
Walifikiria kuhusu quality na sio quantity. Huwezi hata siku moja uka-compromise na ubora wa elimu. Shule moja 400 students 2 teachers....what a joke! hayo ndio mafanikio ya kuzalisha wajingaShule ya Sekondari kila kata, nambie ni Rais yupi aliyefanya hayo kabla yake?
Mtembezi hula miguu yake Faiza. Huyu mwanamama walifuata wenyewe wakati wanatalii na kibakuli chao. Sasa wavune walichopanda. Na hakuna bifu mbaya kama wenzetu wa majuu. Hawageuki MAWE!. Hapa tununue popcorn za kutosha, movie bado haijaanza!
Over 2000 Secondary Schools in 5 Years, over 168 Industries in 5 Years, Over 11,000Kms of Roads signed and under construction, over 3000MW of electricity signed and under construction, fiber optic trunk, whole of Tanzania, over 18 regions, 56 districts are already enjoying it.
Haya leta ma apple kama hayo kwa marais woooote kabla yake uwachanganye pamoja.
Ile ya Spain alijialikaHizo trips ndio zinakufanya mpaka sasa hivi unakula mtandao kwa raha zako.
Mwinyi ana mazuri mengi tu kuliko huyu mpuuziiWachana na mbeleko jibu hoja? ni kipi ambacho Kikwete hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yake? na vingine hata ukichanganya vyao woooote pamoja na vya mkoloni lakini bado havifikii alivyofanya Kikwete kwa miaka 5 tu! Anastahili kila sifa kwa wenye kufikiri, japo kidogo, na wale ambao hawaendeshwi kwa dini yake na wanaendeshwa kwa vitendo vyake.
Bado nawategemea wakoloni wawafundishe namna ya kuishi. Mna kazi sana nyie wakimbizi wa Tanzania

Lisa Rockerfeller kalifanyia kitu gani taifa letu la Tanzania?