Unasumbuliwa na moja au yote katika haya hapa:
When the brain is healthy it functions quickly and automatically. However, when problems occur, the results can be devastating. Some of the major types of disorders include:
- neurogenetic diseases, eg. Huntingtons disease and muscular dystrophy;
- developmental disorders, eg. cerebral palsy;
- degenerative diseases, eg. Parkinsons disease and Alzheimers disease;
- metabolic diseases, eg. Gauchers disease;
- cerebrovascular diseases, eg. stroke and vascular dementia;
- trauma, eg. spinal cord and head injury;
- convulsive disorders, eg. epilepsy;
- infectious diseases, eg. AIDS dementia; and
- brain tumors
Unajuwa Marekani ni saa ngapi sasa hivi?Nimetoka kuongea na Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta, kaniambia mkutano utafanyika Marriot Washington Dulles Airport Hotel.
Ni marufuku Mtanzania ambaye hana makaratasi overstay immigrate, kuhudhuria huo mkutano sababu US Immigration watakuwepo wakifanya Operation yao kupambana na wahamiaji halamu pamoja na kupambana na mtandao wa Illegal Wealth
Unajuwa Marekani ni saa ngapi sasa hivi?
Huyu jamaa kweli debe tupu! ukitumiwa mwaliko ndio umeruhusiwa kuingia Marekani!Kama huamini nikupe website kadhaa Marekani na Ulaya uchaguwe event unayotaka kuhudhuria kama haujaona wamekutumia mwaliko kwenye p.o.box yako na email yako.
Nimetoka kuongea na Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta, kaniambia mkutano utafanyika Marriot Washington Dulles Airport Hotel.
Ni marufuku Mtanzania ambaye hana makaratasi overstay immigrate, kuhudhuria huo mkutano sababu US Immigration watakuwepo wakifanya Operation yao kupambana na wahamiaji halamu pamoja na kupambana na mtandao wa Illegal Wealth
Mcharuko mwingine huyu ananiuliza eti Marekani ni saa ngapi saizi!Unajuwa Marekani ni saa ngapi sasa hivi?
Giving advice but no one listenspamoja na kujaa upuuzi na ukilaza pia hata lugha hujui
<font size="3"JF Hate Preacher/font ....kama unavyojulikana humu
Badilisha hiyo, sema "naunga" usitusemee, wengine hatuungi mkono kabisa.
Unapojipanga kudanganya ni lazima ujuwe unadeal na watu wa aina tofauti, swali langu ni rahisi sana, unajuwa muda huo uliosema umetoka kuongea nahuyo kiongozi wa Dicota ni saa ngapi kwa saa za Marekani? kuna ugumu gani hapo kunijibu kwamba ni saa fulani!Mcharuko mwingine huyu ananiuliza eti Marekani ni saa ngapi saizi!
Anadhani Marekani kama Tanzania. Mbeya ikiwa saa mbili usiku na Dar es Salaam na Mwanza nako saa mbili usiku.
Hizi shule za kata kweli ni janga la taifa kama vile Umeme
Muandaaji wa haya Maandamano bwana Mallya, anasema Maandamano yao yataishia STATE DEPARTEMENT, ni wapi na wanausika na nini ndani ya Marekani kwa faida ya Watanzania tujuze STATE DEPARTEMENT
Teh teh teh! Nimecheka mpaka machozi yamenitoka eti mimi nimezaliwa mwaka 80!Unapojipanga kudanganya ni lazima ujuwe unadeal na watu wa aina tofauti, swali langu ni rahisi sana, unajuwa muda huo uliosema umetoka kuongea nahuyo kiongozi wa Dicota ni saa ngapi kwa saa za Marekani? kuna ugumu gani hapo kunijibu kwamba ni saa fulani!
Na shule za kata unazoongelea ni janga la ccm wenzako kama wewe, mimi nimesoma shule za serikali wakati huo Tanzania ilikuwa na uongozi unaojuwa nini maana ya Elimu.
Sasa unapozungumzia shule za kata nakushangaa sana mimi sio wa umri wako ambae umepitia shule zama za Benjamini Mkapa + Kikwete, ndio maana huna nidhamu unadhani kila mtu ambae yupo humu kwenye forum unadhani amezaliwa miaka ya 80s na 90s kama wewe.
Angalizo ninalokupa sisi wengine twaweza kuwa ni baba zako ila kwa utukutu wako uoni mbali.
Acha uwongo.Nimetoka kuongea na Rais wa Dicota Dr Ndaga Mwakabuta, kaniambia mkutano utafanyika Marriot Washington Dulles Airport Hotel.
Ni marufuku Mtanzania ambaye hana makaratasi overstay immigrate, kuhudhuria huo mkutano sababu US Immigration watakuwepo wakifanya Operation yao kupambana na wahamiaji halamu pamoja na kupambana na mtandao wa Illegal Wealth
<br />Haya ni maandamano ya Kidini, na yamedhaminiwa na Washirika wakubwa wa hiyo dini ya Kikiristo.
Muda ulikuwa unaongea na Kiongozi wa DICOTA ni saa ngapi kwa saa za Marekani? kuna shida gani kwenye swali hili? kumbuka ukiwa muongo na usiwe msahaulifu.Teh teh teh! Nimecheka mpaka machozi yamenitoka eti mimi nimezaliwa mwaka 80!
Wakati mwaka 1980 ndio napata kijana wa kwanza, kweli Ngo'mbe hawawezi kwisha ata wachinjwe vipi, Kijana unaweza kuwa ujui mimi nimesoma chuo na mzazi wako wa kike!
Tumemtumia Yule Dada Kipenzi cha Watanzania Lisa Rockerfeller kuwa Mzungumzaji mkuu. tunasubiria majibu toka kwake