Najua yapo mambo mengi ya kuandamana kwa sasa. Hata hivyo mi nadhani hili la bunge kuendeshwa ki-hovyo hovyo na Spika Makinda ni kubwa na jambo la hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu. Nawashauri CHADEMA, na wote wanaokerwa na mama huyu, wafanye maandamano nchi nzima au sehemu kadhaa za nchi, kulaani uendeshaji mbovu wa bunge unaofanywa na spika. Ingawa najua haitafanya aondolewe madrakani, naamini itamoa msg, na itamfanya ajue kuwa anachokifanya bungeni kinawaudhi wengi. Mi nadhani kwa sasa anadhani kuwa hajashtukiwa kuwa anaendesha bunge visivyo, so akiona maelfu wameandamana kumlaani, atapata funzo fulani/
Wanaounga mkono pendekezo hili waseme "Ndiyooooooooo"
Wanaopinga waseme "Siyoooooooooo"
Ahsante sana kwa kunisikiliza...
wabunge wenyewe ndo waandamame sisi tutawapima wao hatukumchagua makinda tuliwachagua wabunge!saivi mtaanzisha kila kitu kuona nyuma yake kuna wajinga wangapi!
Mi sio moja wao
wabunge wenyewe ndo waandamame sisi tutawapima wao hatukumchagua makinda tuliwachagua wabunge!
Ninaunga mkono hoja.
Nafikiri nchi hii inahitaji maombi. Sehemu nyeti kama bunge mnamuweka mama anayechemka hivyo...asiyejiamini na kibaraka wa chama ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa hili sio tu linaendelea, lakini kwa mtazamo wangu mimi limekoma kuendelea kwa muda mrefu.
Tutaendelea kuwa Highly indebted poor country kwa sababu uendeshaji wa mambo ya muhimu yanatawaliwa na miongozo ya maveterani wa chama ambao kwa ktumia science ndogo, uwezo wao wa kufikiria umeshakoma...wangepaswa kubaki nyumbani walee wajukuu.
Nahisi kama ulihusika kumtuma awe spika! Kwakuwa hasimamii sheria za bunge ila za waliomtumaMakinda ukiona adui yako ana lalamika basi ongeza zaidi kasi ya jambo hilo unalofanya! Mama Makinda endelea hivyo hivyo na msimamo wako huo!