Maandamano ya CHADEMA tija imepatikana?

Maandamano ya CHADEMA tija imepatikana?

Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
Hujui lengo la maandamano. madikiteita hawawezi kutishwa na maandamano ya siku moja, Lakini this is the start!
 
Madai yao yanatekelezeka?

Yatatekelezwa na nani?

Yatatekelezwa lini?

Yatatekelezwa wapi? Tz hii?

Yasipotekelezwa what is the next course of action?

Maandamano yalipeleka ujumbe kwa mhimili upi wa dola?

1. Utendaji?
2. Mahakama?
3. Bunge?
4. CCM?

NB
Kwa jinsi ya mfumo tunaoishi nao, namba 4 hapo juu nayo ni mhimili kamili.

Kwanini ni mhimili kamili?

1. Wapinzani waandamizi na wafawidhi waliotokea CCM kuunda upinzani wote wameendelea ku-retain kadi zao za uanachama wa mhimili namba 4. Mrema amekufa nayo, Kabourou amekufa nayo, Ndesa amekufa nayo, Kingunge amekufa nayo, Membe amekufa nayo, Maalim amekufa nayo, Wassira aliondoka nayo amerudi nayo, Lowassa aliondoka nayo amerudi nayo, Mgana Msindai aliondoka nayo amerudi nayo, Slaa aliondoka nayo akarudi nayo na ameondoka nayo tena na atarudi nayo tena nk nk. Tuwapo upinzani tunakaa kwa akili.

2. Kadi za mhimili namba 4 zina nguvu sawa na pasipoti na NIDA katika uhalisia wa mambo.

4. Kamati ya Maadili ya mhimili mamba 4 inaogopwa na ina nguvu kuzidi mhimili namba 2.
Eti wamepeleka UN! Ahahahahaha!!!
 
Hivi ukiandamana halafu ukapuuzwa unachukua hatua gani nyingine?
Je, maandamano ya madhara gani kwa walengwa.?

Nielimisheni wakuu.
Ukipuuzwa kesho yake unamfuata aliye kupuuza mawe. akikushinda unaenda kujipanga safari nyingine unarudi na panga, yaani huo ugomvi aushi mpaka mmoja asarende mwenyewe.
 
Back
Top Bottom