Maandamano ya CHADEMA Mbeya yaruhusiwa

Umeandika mpaka umekinzana ww mwenyewe, povu la mate mdomoni lakutoka. Kuwa mpole fuata sheria. Mmeisha ambiwa mapemaa maandamano hayo ni marufuku , sasa dola ikiwashukia msimlaumu mtu, na jamaa wana hamu kweli ya kufanya mazoezi na kupandishwa vyeo
 
Ww upo nyumbani kwako saa hizi unakunywa juice hapo na kufurahia na familia yako, na uhakika kama ungekuwa Mbeya ww wala usinge kwenda kwenye maandamano kama yamepigwa mafuruku, mnawatosa wenzenu wauliwe nyie mbakie kuandika tu humu JF

Are you saying police wamejiandaa kuuwa watu huko Mbeya?!
 
Are you saying police wamejiandaa kuuwa watu huko Mbeya?!

Polisi hawahusiki hapo, chanzo mtakuwa nyie kama mlivyo fanya arusha. Wao wameisha waambia maandamano yenu ni marufuku, sasa mkitaka kufanya kwa nguvu dola haita waachia
 
Si kweli usemacho, ametekeleza wajibu wa sheria ! wala haihusiani na kujivua gamba

Hapana Mkuu Hawa Kabla ya SISI Kutangaza Kujivua Magamba walifanya Maandamano kanda ya Ziwa Kwa Kutumia Sheria Hizi hizi ( Au Nakosea)

Moja ya Mikakati ya SISI kujivua Magamba ni SISI kwa kutumia POLISI WETU kuwadhibiti kabisa hawa Jamaa ( Na Tena tuliambiwa tujiunge na Socila network kupambana nao maana Ripoti ya Consultant wetu ilidai Social Network Zooooote Zikiwamo JF, Tweeter, Facebook eti ni za CHADEMA).

Sasa TUMESHAJIVUA Magamba na Moja kati ya Mikakati ni kuwadhibiti, Ndugu yetu NYOMBI ameanza kutekeleza MIKAKATI kwa Vitendo ( Si Kama Ndugu yetu Nape yeye ni Maneno tu)

Je Hakuna Sababu ya NYOMBI kupongezwa Kweli?
 
Ushawishi wako unakosa mashiko, kutekeleza sheria kuna uhusiano gani na kujivua magamba ? na elewa haya ni maeneo tofauti, hali ya huko waliko fanya maandamano si sawa na ilivyo mbeya !
 
Ushawishi wako unakosa mashiko, kutekeleza sheria kuna uhusiano gani na kujivua magamba ? na elewa haya ni maeneo tofauti, hali ya huko waliko fanya maandamano si sawa na ilivyo mbeya !

Hali ya Mbeya Ikoje na hali ya Mwanza Ikoje, hebu tueleze Ndugu yangu Maana SISI tunaona Nyombi anatekeleza Mikakati ya Kujivua Gamba kwa Vitendo
 
Yatafanyika tu hata wakilleta za kwao,maandamano si yao ni yetu wananchi,tunataka kusema sio kusemewa,tunataka kutembea sio kuzuiwa,tunataka kushirikishana hisia za kisiasa na kuondokana na mfumo vitisho.
 
kwani mkifanya mkutano bila maandamano kuna ubaya gani sana sana haya mandamano mnawapa wapinzani wenu nafasi ya kuwaleza watanzania kuwa mnachochea virugu
 
rpc hana mamlaka ya kutoa kibali. Na yeye haombwi kibali bali anapewa taarifa.gb wewe uko katika karne gani? Ama kweli watanzania wengine hawajijui kama wapo tanzania.

kibali cha maandamano kinatolewa na ocd wa eneo husika maandamano yatakapofanyika. Tatizo gb anaishi kule alikozikwa osama. Deep in the arabian sea.
 
Makamanda CDM wapo kwenye foleni Ubungo tayari kwa Mapambano Mbeya hakuna kurudi nyuma tena lazima tupambane sana.MUNGU YU UPANDE WETU.
 
Umeandika mpaka umekinzana ww mwenyewe, povu la mate mdomoni lakutoka. Kuwa mpole fuata sheria. Mmeisha ambiwa mapemaa maandamano hayo ni marufuku , sasa dola ikiwashukia msimlaumu mtu, na jamaa wana hamu kweli ya kufanya mazoezi na kupandishwa vyeo
Marufuku kwa sababu zipi????. Ovyoooooooooo!
 
Makamanda CDM wapo kwenye foleni Ubungo tayari kwa Mapambano Mbeya hakuna kurudi nyuma tena lazima tupambane sana.MUNGU YU UPANDE WETU.

Mungu ni wa wote, na hana upande ! ila upande wenye haki ya kulinda amani na utulivu wa nchi ndio yuko upande wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…