Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.
Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.
Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".
Nyie CCM hata hotuba tu mnaandamana eti kuunga mkono inawasaidia nini mbona huwa hamsemi ni matembezi ya kuunga mkono hotuba.Nadhani tunahitaji kutoa upya maana ya maandamano.
Haiwezekani yale ya wananchi wa Misri pale Tahriri Square, Tunisia na Lybia na haya ya watu wanaotembea kuelekea mkutano kutoa na kusikiliza matamko tu na kisha kuishia zao yote yaitwe maandamano.
Tunapaswa tukipe kiswahili maneno tofauti juu ya vitendo hivi viwili visivyofanana ata chembe, hili la Mwanza lilipaswa liitwe "matembezi" na wala sio "maandamano".
tunaangalia kwanza nani alifanya uzembe kwa kuua ndugu zetu! Na ccm ndo mmefanya kazi hiyo hv nimesahau ccm MLITOA nini kwa wahanga unakumbuka mkuu au kazi yenu ni kukosoa wenzenu tuu na mnahali mbaya sana ninyi!fedha ingewasaidia sana wahanga wa hayo mabomu kuliko kutumika kwenye maandamano, taifa kwanza
Wewe bwana ndo mnafiki, mara ngapi CCM wamefanya maandamano yasiyo na kichwa wala miguu na hakuna aliyewahi kuhoji? Kwa mfano siku ya tar 05/02, mlifanya maandamano, yalikuwa yanahamasisha nini yale? wenzenu haya yanalenga kutetea rasilimali za nchi zisitumiwe hovyo na wahuni kama wewe, ninyi ya kwenu yalitaka kusema nini kwa nchi, na yalisababisha watu waahiriishe shughuli zao za maendeleo, na barabara zilifungwa ili ninyi muandamane, kulikuwa na return gani kwa nchi kutokana na maandamano yenu yale?Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?
Viajenda vya kuchupia chupia na kuleta fujo tu, mara hii mnachokitegemea kitokee Mwanza, kama kule Arusha, hakitatokea, labda mkitafute wenyewe, hakuna wa kuwaopoweni, mtapiga makelele mchana na usiku mtatafuta vitanda mlale!
Kama kuna anayeweza kunitajia kitu kimoja kilichopatikana kwa chama fulani cha siasa Tanzania kwa njia ya maandamano aweke hapa. Kila siku mnaandamana na kutoa hotuba zisizo na tija halafu jioni mnarudi nyumbani. Mantiki yake nini sasa?
Hivi huwa mnakaa na kuevaluate mafanikio yanayopatikana kutokana na hayo maandamano?[/QUOTE]
Weee! weee! usinichefue hapo kwenye RED. Are you in this world au ushakufaga. Majuzi hujasikia mafanikio ya MAANDAMANO huki Tunisia na Misri! Habari ndio hiyo. Kama wewe ni CCM hamna chenu mmekalia kuti kavu.
Fedha ingewasaidia sana wahanga wa hayo mabomu kuliko kutumika kwenye maandamano, taifa kwanza
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.

Walala hoi wanatembea kwa miguu nyinyi mko ndani ya gari,
Halima anakubalika sana alipokuja arusha MC aliwasahau viongozi wa CDM kuwatambulisha...watu walipiga kelele wakimtaka Halima kweli mpaka alitambulisha na kila lilipokuwa likitajwa jina la Halima Mdee watu ni shangwe, ndivyo inavyo takiwa hata kama hata gombea kawe anaweza kugombea Jimbo lolote Tanzania na akapita...Halima Fanyakazi watu wanakukubali mbaya kabisaNipo kwenye gari moja na Halima Mdee watu wanamfurahia sana.Watu waliosimamam barabarani wanapomwona wanapiga kelele.Wamefurahi sana kumuona.Kwa kifupi amekuwa kivutio machoni pa wengi.
kunamtu kalazimishwa mkuu kwenda kwenye hayo maandamano au unaandika tuuu kama taahila!cdm mnatumia vibaya kodi zetu...saa nane ni saa ya watu kuwa makazini kutafuta riski.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.