MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
@Mlengo wa Kati, Assume for the sake of this argument that CDM is indeed Chama cha Demokrasia na Maandamano. Labda nikuulize, nani hasa ni CHADEMA? Mbowe?, Slaa?, Lema au mtu mmoja mmoja? Ni kwanini watanzania vijana kwa wazee, wake kwa waume, wanaacha shughuli zao na kufuatana na hiki Chama cha Demokrasia na Maandamano, tena kwa maelfu? wamepagawa? ni wajinga hawa watanzania?
CCM wanaweza kuwa na monopoly ya DOLA lakini kamwe hawawezi kuwa na monopoly ya wisdom. Chadema is not just a political party, it is a movement to put an end to all the lies, mass failures, looting,nightmares created by a group of individuals who thought they had the title deed to do as they wish! In short Chadema is vision of what Tanzania should be and what it can be. Watu wanaojitekeza kwenye hayo maandamo (bila fuso) wanajitekeza kwa jambo moja tu - nalo ni, mubadala
Well said JFM and message sent !