Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, May 6, 2011.

 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Hivi sasa ndio tunajipanga ili kuanza Maandamano yetu. Mji umejaa hamasa kubwa kila ukipita bendera za CHADEMA na ishara ya vidole viwili ndio vimetawala.

  Watu wamependeza sana na Kombati na Sare nyingine za Chama. Tunatarajia kuanza Maandamano mida ya saa sita. Magari yote ya msafara yako hapa Forest yakipiga nyimbo mbalimbali za chama. Maandamano yanatarajiwa kuanza maeneo ya Mafiat njia ya Uwanja wa Ndege yataelekea Viwanja vya Ruandanzovwe Mwanjelwa.

  Leo tutatembea Kilomita Mbili tu.

  Pata picha za Awali.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Aluta Continua
  Kutoka Mbeya Forest

  Regia E Mtema
  Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hongereni lakini nawaasa msivunje amani
   
 3. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa mkuu.
  Mbona hizo picha za awali hatuzioni.
  Tuwekee pliiz, tuna tashshwishwi ya kuona kinachoendelea huko na lile anguko la "Intelijensia".
  Watu pipooooo...
   
 4. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  2po pamoja!
   
 5. V

  Vancomycin Senior Member

  #5
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante mkuu kwa taarifa,tunatarajia hoja madhubuti zitakazo eleweka kwa kila mtanzania mwenye uchungu na taifa hili na kugusa hisia za kila mmoja katika hotuba zenu za msingi.

  Picha mmi sizioni kama ulivyoandika hapo juu.
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo ile habari ya jana kuwa polisi wamezuia maandamano haikuwa ya kweli...???
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mkuu R M tunakusoma...tunasubiri update toka huko!
   
 8. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa Ila andamaneni kwa amani na mjichunge na uchokozi wa wafuasi wa ccm maana hawa jamaa hawakawii kutuchafua Chadema kwa namna yeyote ile
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Isome vizuri ile thread ya jana utaona mbele iliendeleaje.
   
 10. p

  politika Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aminia dada Mtema, kamueni kiukwelikweli, ili wanaojichubua watoke hadi ngozi
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mh mbunge picha hatuzioni!
   
 12. W

  WildCard JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Chama cha Democrasia na Maandamano
   
 13. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  1.Chama cha kujivua magamba na kuwadanganya wadanganyika.
  2.Chama cha mapacha watatu.
  3.Chama cha mafisadi.
   
 14. p

  politika Member

  #14
  May 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  turushie picha tuwaone mashujaa wetu
   
 15. p

  politika Member

  #15
  May 6, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  turushie picha fasta tuwaone mashujaa
   
 16. s

  stun Member

  #16
  May 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu wildcat, japokuwa umeamua kuchakachua jina la chama, ila ujue wazi kuwa "maandamano" pia ni sehemu ya "demokrasia"..karibu tuandamane, tutekeleze demokrasia yetu:israel:
   
 17. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Jamani mie sioni picha....Ahsante Regia kwa taarifa!
   
 18. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Chama cha upande wa kulia cha kifisadi.:israel:
   
 19. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuandamana ni kuandamana tu hata kama yanzie angani.
   
 20. W

  WildCard JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mtachoka tu kuandamana li-nchi likubwa sana hili. Kodi zetu ndio zinateketea hivo. Tofauti kati yenu na CCM kwa matumizi ya fedha za UMMA haipo. Watoto wetu waendelee kusoma chini ya miti na kukalia mawe. Tuendelee kuigharamia SIASA mpaka basi.
   
Loading...