Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

Another news making out of nothing??? evidence kama umeibiwa kura

Unataka ushahidi!fungua kesi ushahidi tutauwasilisha huko. Wewe una ushahidi kuwa hawakuiba?mbona matokeo yaliyokuwa yakitangazwa maeneo mbalimbali yalikuwa tofauti na matokeo yaliyoko katika fomu za matokeo? Unauliza harufu mbaya chooni?
 
Unataka ushahidi!fungua kesi ushahidi tutauwasilisha huko. Wewe una ushahidi kuwa hawakuiba?mbona matokeo yaliyokuwa yakitangazwa maeneo mbalimbali yalikuwa tofauti na matokeo yaliyoko katika fomu za matokeo?

ignore this idiot
 
Unataka ushahidi!fungua kesi ushahidi tutauwasilisha huko. Wewe una ushahidi kuwa hawakuiba?mbona matokeo yaliyokuwa yakitangazwa maeneo mbalimbali yalikuwa tofauti na matokeo yaliyoko katika fomu za matokeo? Unauliza harufu mbaya chooni?

Nashawishika u mmoja wa wale Watanzania wafuata mkumbo, haujui na wala haujui kuwa hujui.
 
Unataka ushahidi!fungua kesi ushahidi tutauwasilisha huko. Wewe una ushahidi kuwa hawakuiba?mbona matokeo yaliyokuwa yakitangazwa maeneo mbalimbali yalikuwa tofauti na matokeo yaliyoko katika fomu za matokeo? Unauliza harufu mbaya chooni?

Hoja za kitoto mimi niliyeshinda niende mahakamani eti kwasababu kuna mtu analialia kwamba kaibiwa,...onus of proof iko kwa mlalamikaji au sheria hujui?
 
Damu yenu iwe rutuba kwa democracy Tanzania, tuko pamoja katika hali hiyo, mmeweka historia nchi, historia nzuri ya kuleta mapinduzi.
 
Hoja za kitoto mimi niliyeshinda niende mahakamani eti kwasababu kuna mtu analialia kwamba kaibiwa,...onus of proof iko kwa mlalamikaji au sheria hujui?

unaweza kwenda mahakamani kuclaim defarmation. Au huoni kuwa unakashifiwa unapoitwa JIZI LA KURA?
 
Hivi kuna matatizo gani kama wakiwaruhusu watu kuandamana? Au wanataka kuleta fujo zisizo za msingi? Well, kila mtu anachagua anachotaka kwa ridhaa yake
 
Labda kama umeanza kufuatilia siasa 2006, hii hali sio mpya na haijavunja bado record ya matukio makubwa zaidi yaliyopata kutokea, na Chadema wanawajibika pia kwa upotevu wa mali za raia wema na usumbufu usio wa lazima uliotokea leo.

Ndugu Masonjo, je matukio yapi makubwa unayoyaongelea? Kwangu mimi ni tukio kubwa sana viongozi wakuu wa chama cha siasa cha upinzani kupigwa na kuwekwa ndani kinguvu, tena chama chenyewe cha upinzani ambacho ni cha ukweli ambacho bado kina machungu ya kuchakachuliwa kura! Bisha usibishe hii ni new chapter, na waliofanya hivyo watajutia walichokianzisha bila kutumia busara.

Ndugu Masonjo we inaelekea ni CCM. Ni haki yako kuwa CCM, lakini kama ndivyo kwa kweli nakusikitikia kwa uchaguzi mbovu wa chama cha siasa unless wewe pia unapenda uonevu na ufisadi wa CCM, then ur in a right track and place.

Huo usumbufu unaosema wewe nani aliuanzisha? CHADEMA au vibaraka wa CCM ambao ni POLICE, wapi walitoa barua waliyowakabidhi CHADEMA kuonyesha wasifanye mkutano wao leo?
 
Hoja za kitoto mimi niliyeshinda niende mahakamani eti kwasababu kuna mtu analialia kwamba kaibiwa,...onus of proof iko kwa mlalamikaji au sheria hujui?

Nani amekuambia kuwa wewe siyo mshindi? sina mpango wa kwenda kutoa proof ya wizi wako ila wewe unishtaki ili proof ya uwongo wangu itolewe. Unajua sheria ila hujui namna ya kutumia.
 
Kumbukeni vilevile damu ya Watanzania iliyomwagika huko pemba 2001 chini ya jemadari mkuu William Mkapa akisaidiwa na Fredirick Sumaye

Walikufa watu 38????

Hapa hata moja hajafa majeraha tu kelele?????? aghrrrrrrr

CDM hawakumchinja mtu kama walivyofanya wenzako wa Pemba. Usifananishe chungwa na embe.

Amandla......
 
Down with mafisadi/CCM!
Long live democracy!
Long live Tanzania!

Nafsi inawasuta CCM kwani wanajua hawakushinda uchaguzi.

Upuuzi mtupu. Katiba hiihii mbovu inaruhusu maandamano, polisi wanazuia? ?&%$#@* zao...

haya ndo tunayoyataka.....ndo mwanzo wa ukombozi. Damu za watanganyika zilizomwagika Arusha leo zina mchango mkubwa katika kuleta ukombozi wa kweli kwa watanganyika
 
huyo daresalam, ana laana ya baba yake wa kumzaa ambae hamjui kwani mama yake hakua na mwanamme mmoja, asiwaumize kichwa hamjui baba yake ndio maana akili yake mbovu. Mbwa koko huyo mla makombo ya kina rostam.
 
Hii amri imetoka huku Dar, kama kamanda wa police mkoa wa Arusha aliweza kuruhusu maandamano na mkutano jana ilikuwaje ibadilishwe ghafla. Mwema na bosi wako likichafuka tutawauliza nyie
 
Back
Top Bottom